Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Mi nadhani tusiandikie mate wakuu wiki ijayo haipo mbali jamani panapo majaliwa tutajionea wenyewe tuwe na subra maana matamko yamezidi vitendo
 
Kuweni na subira mwisho wa mwezi sio mbali mbivu na mbichi itafahamika pale ambapo kila mtu atachungulia mshahara wake
 
huo ni uongo mkubwa kabisa hakuna kitu kama hicho labda itakua 2020 July karibu na uchaguz mkuu
 
Ina maana scale ya Magufuli haipo au tupo nae hapo kwenye 500 mkuu?
 
Hakuna kitakachoongezwa maana mkuu wa nchi ndio aliyetangaza kusitisha na mpaka sasa sijapata kusikia kutoa tamko la kuruhusu ajira na watu kupewa promotion zao ambazo walishaanza kuzitumikia kwa mwezi mmoja halafu wakanyang'anya.
 
mwaka huu hakuna ongezeko,serikali imepunguza 2% kwenye income tax imemaliza. sasa endelea kuota u will be very disapointed aisee!!!
 
Kama hujathibitisha maana yake huu ni umbea
 
Weeeee, nani wa kuthubutu!!! Mi huwa najiuliza tu, wanasema uhakiki ni endelevu halafu hapo hapo wanasema ajira mpya, nyongeza za mishahara na kupandisha madaraja vitafanyika baada ya uhakiki kumalizika ; sasa sijui nini maana ya endelevu.
 
Ingekuwa enzi za JK ingewezekana lakin si kwa huyu tuliyenaye sasa.


Hivi humo ndani ya nyumba mnaelewana kweli kati ya wewe na mke wako? Kwa maana wote mnaongea kimafumbo mafumbo na kimipasho!
 
Mamamayo!! Unasemaje hii ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Ijumaa, halafu mwisho unasema ni tetesi?
 
Huu upuuzi ulianza kusambaa tangu mwez July 2016,

Huo mshahara wa TGTS A na TGS A ndo wanalipwa kina nani?

Watanzania acheni uzembe wa kukubali kila uongo wa mitandaoni!
Hujui tofauti ya TGTSA na TGSA. Badala ya kuomba kujua ushaanza kuponda kitu ambacho hujui. Mkiitwa jina la yule anayeishi Serengeti, mnalalamika mmetukanwa!
 
Waongeze mishahara wapunguze ni wao watakavyoamua.Ila kwenye fao la kujitoa hapo ndio kuna shida NSSF yangu imekaa vizuri soon niondokane na manyanyaso ya ajira nijiari mie.
 
Huu upuuzi ulianza kusambaa tangu mwez July 2016,

Huo mshahara wa TGTS A na TGS A ndo wanalipwa kina nani?

Watanzania acheni uzembe wa kukubali kila uongo wa mitandaoni!
Acha uongo scale ya July iliyosambaa siyo hiyo na Siku zote unapobisha jambo njoo na hoja kama ujui nyamaza ajabu nini sasa au unaona mshahara mkubwa kwaiyo hauamini nisikilize miye sasa hiyo scale ni ya kweli angalizo tu usiende bank kutop up maana watumishi wa inchi hii kama wamelogwa na mikopo
 
sikushangaa unavyojiita mwenyekiti wa ccm jf! maana wewe ni mjinga wa wajinga!! yaani mara PROVED mara tetesi mbaaaafu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…