Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Wahenga walisemaga..
LISEMWALO LIPO....
 
Acheni kutuchanganya sisi wafanyakazi. Tunachofanyia kazi ni kauli ya Rais wetu mpendwa JPM siku ya MEI Mosi kwamba kwa mwaka huu hataongeza mshahara labda mwakani. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Lini alisema hivyo??? Unataka kusema sisi wengine hatukusikia alichoongea!!!
 
wakawasaidie wahanga wa tetemeko kwanza..
naona hela zao wamebana wanataka wafadhili ndio wawasaidie wahanga..
duh !!
 
Samahani, huo mshahara ni kwa sisi makada wa chama cha kijani tu au mpaka wale wengine watapata? maana tumekuwa wabaguzi sana hata misaada yao kule kagera tuliikataa.
 
Siwezi hata kufikiri maana hiyo siyo Tanzania, mishahara mwisho H siyo hapa, I na J na wa juu ya hapo waraka hukuuona. Ila uzuri siku baa ni mpaka jioni
 
we jamaa ni mpuzi kweli, eti waraka umetoka ijumaa afu unamalizia kwa kusema sijathibitisha
 
kama mabo yenyewe ndio haya, basi ngoja nikahuishe kale kamchepuko kangu kalikopotea kisa UKATA...
maana si kwa salary hii asseee
 
Hiyo Kitu Ni Ya Kweli Kabisa Kuna Jamaa Yangu Anafanya Kazi Ktk Halmashauri Flani Upande Wa LAWSON huu waraka wanao tayari na kila halmashauri kwa uhakika zaidi tafuta mtu yoyote anayefanya kazi kitengo hicho ktk halmashauri yako
Acha Umbea umedanganyanywa. Hakuna Ujinga wa Namna hiyo.
 
Anzani kubuni shughuli za kufanya mshahara mil moja kwa mwezi unafurahia?wakati mkulima wa matikiti anapata mil 10 kwa heka moja kwa miezi miwili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…