September 1:Kwa nini kila kitu kinaangukia September mosi?
Bila kuidhinishwa na Bunge? Haimo kwenye bajeti labda upelekwe upya pamoja na gharama za kuhamia Dodoma! Kurupuka at work once again!
September 1:
Maandamano ya UKUTA nchi nzima.
September 1:
Siku ambayo jeshi la wananchi Tanzania litafanya usafi huko Arusha.
September 1:
Imetajwa kua siku ya kuongezwa mishahara kwa wafanyakazi wa uma, ikiwemo kupandishwa vyeo kwa wanao stahili.
September 1:
Dr Slaa ana timiza mwaka mmoja kuanzia pale 1 September 2015, alipo tangaza rasmi kujingatua Chadema na kujiondoa kwenye siasa.
Wamezoea mkubwa wao yeye anaamua bila bunge hata pale ambapo katiba inalazimu hivyo. Ila hili linawezekana kwa amri za kisiasa tu maana mambo yanayohusu fedha hata ukitoa amri, kama fedha hakuna ni hakuna tu...Kwa bajeti ipi iliyopitishwa na bunge, itakuwa ni kuingilia muhimili mungine wa dola
Unaongeza mia mbili kwa kila mfanyakazi? Maana hao wanaoitwa hewa hawafiki hata robo ya wafanyakazi wote wa uma sasa ni kiasi gani kimeokolewa kutosha nyongeza hiyo?mkuu, ni kutokana na fedha zilizookolewa kutoka watumishi na wanafunzi hewa.
tumia akili we form 4 fail ivi watumishi hewa wapo 12000+ pesa zao zitaweza ongeza mshahara wa watumishi 100000+mkuu, ni kutokana na fedha zilizookolewa kutoka watumishi na wanafunzi hewa.
Ha ha ha ndugu yangu be strong! Kwa maana inaonyesha wakuu wamekukatisha sana tamaa!Propaganda tu kila siku hakuna utekelezaji tumechoka ! Mkitaka pandisheni msipotaka acheni
Ukuta unahusianaje hapaDuh au njama za kuvunja ukuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada unavojibu utadhani umeshikilia mafaili yote ya watumishi wa umma!wote hakuna atakaye achwa
Halafu hii tabia yako ya kutumia neno "uchwara" usiiendekeze sana vinginevyo yatakutokea puani!!mkuu, ni kutokana na fedha zilizookolewa kutoka watumishi na wanafunzi hewa.