Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Tunasubiria japo sina uhakika na hii taarifa yako kabisa
 
Yaani nyie machadema hamna kabisa ari ya kutumikia wanyonge, jambo la mshahara we unaleta siasa zako za Maji taka!
Hapa ndipo unaikoroga hoja.
- si lazima ufikiri kuwa kila anayeuliza ongezeko la mishahara linafuata utaratibu upi ni cdm.
- kwani kila anayetetea wanyonge lazima awe ccm. Mbona mwana ccm alitengeza ARV fake?
Mwovu ni mwovu regardless of his/party affiliation.
- Hoja nzuri au mbaya inategemea mtu, lakini naona mwezetu hoja zako ni zakiubaguzi wa kivyama.
 
we nan kakwambia? na tangulin umekuwa msemaj wa siri-kali?
mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.
 
Mjidanganye na watumishi hewa..!! Kuna kesi nyingi zimefunguliwa kwa baadhi ya watawala kusingizia watumishi walio kuwa either mitazamo tofauti to watawala kuhusu watawala hao kuwaweka watumishi hewa, ingali wengine wapo matibabu, masomoni etc. Let's wait and see
 
mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.

Mbona bajeti ilishapita na mishahara ilishatengwa. Unadhani serikali inaongozwa kama timu ya ndondo
 
Haya mashairi ya namna hii tumeyachoka mtu ana bwabwaja tu hakuna chanzo cha taarifa yake hovyo kabisa
 
Mkuu umesema 'tetesi' sasa hizo pongezi kwa Magufuli zinatokea wapi tena
 
hata wanipe milioni siwapendi tu CCM sijui kwa nini??!!

Nimewachokaaaa!!!
 
t
tpaul umekula maharage ya wapi ww, unadanganya hadharani, hiz tetesi zingekuwa na chembe ya ukweli usingetumia id feki, acha kuwapa watu stress za bure
 
mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.
Mkuu vip kuhusu ajira mpya?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…