Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
At least kada zingine hata kuwa kuna per diem, safari, seminars, house allowance n.k walimu Sasa ha ha ha nicheke kama mazuri
Hivi wameeongezewa shingapi??? Hao walimu wakuu na wakuu Wa shule
 
Hivi ikiongelewa mishahara inawataja walimu na kada ya afya tuu. Je, watumishi wengine hawafanyi kazi tena ngumu sana zinazohitaji kutumia akili kudeal na pyschosocial problems?

Je, mishahara itaongezwa kuziba mianya ya maisha tunayoikabili ili kuweza kufikia malengo ya nchi na ya mtu mmoja mmoja?
Kazi ya ualimu ndio inayotumia akili na saikology zaidi kuliko zote
 
Naomba orodha ya watumishi wa serikali...maana mi sijui nipo wapi?
 
Mimi nmesema tuu kwakuwa najua ile kaz nilifundsha
 
Kuna kazi ngumu kama wanayoipata maafisa ustawi wa jamii??? Kusuluisha migogoro ya ndoa,kulinda haki za watoto,wazee,watu waishio na vvu,walemavu kwa ujumla na kuwajenga waone maisha ni kama zawadi kwao... Pia walimu nawakubali sana ila serikali ikiongeza mishahara iguse kote.Hali ya maisha si nzuri kabisaaaaaaaaaaaa
 
Kuna kazi ngumu kama wanayoipata maafisa ustawi wa jamii??? Kusuluisha migogoro ya ndoa,kulinda haki za watoto,wazee,watu waishio na vvu,walemavu kwa ujumla na kuwajenga waone maisha ni kama zawadi kwao... Pia walimu nawakubali sana ila serikali ikiongeza mishahara iguse kote.Hali ya maisha si nzuri kabisaaaaaaaaaaaa
 
Mwaka huu hakuna nyongeza ya mishahara vumilieni hadi mwaka ujao wa fedha
 
sawa kwiokwio tunasubiri
Jibu ni kwamba baada Mungu KUMUuMBA Adam ,na kuwambia malaika wammsujudie yaani wammpe heshima,m malaika wowote walisujudu isipokuwa huyu Iblis ambayo asili yake alikuwa ni jinni.kumbuka huyu huyu Iblis au ababil au abaa sijda alilelewa mbinguni na mpk akawa kiongozi wa malaika wote.ni kiumbe anajua mambo mengi sana mbingun.
Kwa kukataa huko Mungu alimpa laana na kumshusha duniani.
Adam na hawa waliishi peponi walishushwa duniani baada ya kuasi maagizo ya Mungu .

Baada ya Adam na hawa KULEtwa duniani Mungu aliweka utaratibu wa wao kuzaa na walizaa kila siku ASUBUHI na jioni -elewa mwanzo wa dunia siku moja haikuwa kama ya Leo ambapo masaa yalikuwa hayakimbii saana kama maisha ya Leo.so hapo Sheria ya kuoa ilikuwa tofauti na za miaka hii.baada ya kuja mitume na manabii KULETA taratibu za dini.na mambo kama hayo ya kuoa.

So ilikuwa hivi .mtoto aliyezaliwa jioni alikuwa ANAOLEWA na MTU aliyezaliwa ASUBUHI.walitoka tumbo moja lkn utaratibu ulikuwa hivyo.
Naa kwani watoto walikuwa wanakuwa haraka haraka kuliko maisha yetu.haya.ya Leo.sasa hao akina kabil walioa ndugu zao wa tumbo moja kilichotenganisha ni MuDA tu.Nasisitiza wa ASUBUHI alioa /kuolewa na wa jioni.asante
 
HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016

1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000

PROVED.......... HAPA KAZI TU

TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.

NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
Hakuna kitu kama hicho na hizo ni ndoto za mchana kweupe
 
hakuna kitu kama hicho labda Zimbabwe bt not Tanzania angekuwa kikwete labda lakini cyo huyu mzeee wa uhakiki kila siku
 
Threads nyingi hapa watu wanalalamika kwamba hawajalipwa mishahara yao miezi kadhaa licha ya kuwa ni waajiriwa wa serikali.
Kama leo hii Mh Rais ameagiza wale wafanyakazi wa chama tawala walipwe, vipi wafanyakazi wa serikali? Hapa naambatanisha extract ya gazeti la mtanzania kuonyesha namna ambavyo watu wanataabika.
IMG-20160919-WA0000.jpg
 
Kumbe bado kuna watu hawalipwi mishahara kwenye time due!!
Hataree
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom