Mishahara kutolewa kwa mafungu mafungu

Mishahara kutolewa kwa mafungu mafungu

Somaiyo

Senior Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
102
Reaction score
184
Katika hali ya kushangaza mwezi uliosha na mwezi huu, mishahara ya watumishi imeanza kutoka kwa mafungu mafungu yaani kwa kada au wilaya. Mfano mwezi huu kuna watu wamepata mshahara Jumamosi ya tarehe 21 na Ijumaaa ya tarehe 20, na wengine wamekuja kuupata tarehe 24 na 23 na wengine mpaka sasa hawajapata!

Kwa kawaida toka awamu ya tano mshara ulitoka kwa watumishi wote wote siku moja, sema kuupata ilitofautiana masaa. Hii inatukumbisha enzi za JK kuna kipindi mishahara ilikuwa siyo ya uhakika sana na ilipitiliza mpaka tarehe 5.

Ikumbukwe kama ukimlipa mshahara mtu tarehe 20, basi tarehe 20 ya mwezi unao fuata anakuwa amekamilisha siku thelathini hivyo ni haki yake kulipwa.

Je, hii ni indicator kuwa hazina kuna hali tete?

Shida tuuuuuuuupu!
 
Wewe ni muongo.
Mimi nimeanza kazi mwaka 2012 kipindi cha JK sijawahi kuona mshahara umetoka kwa kuchelewa hadi tarehe tano.
Awamu ya mshamba kutoka Chato haisafishiki.
 
Kwa kawaida toka awamu ya tano mshara ulitoka kwa watumishi wote wote siku moja, sema kuupata ilitofautiana masaa!! Hii inatukumbisha enzi za JK kuna kipindi mishahara ilikuwa sio ya uhakika sana na ilipitiliza mpaka tarehe 5!!

Wewe ni muongo.
Nani alipata mshahara tarehe tano kipindi cha JK?
Awamu ya mshamba kutoka Chato haisafishiki.
 
Subiri Utalipwa Tanzania Ni Tajiri Sana
 
We jmaa na uongo
20230118_190427.jpg
 
Wewe ni muongo.
Nani alipata mshahara tarehe tano kipindi cha JK?
Awamu ya shamba kutoka Chato haisafishiki.
Labda nikukumbishe ipo mei mosi moja ilipita mpaka tarehe nne tena ni mwaka 2014 mshahara ulitoka tarehe 4!! Yaani watumishi asilimia kubwa walisherekea mei mosi bila salary, alafu Kumbuka kipindi cha miaka ya 2010 kurudi nyuma mishara ilikuwa inalipwa kwenye hlamshauri. Then halmashauri wakijiskia ndio inalipwa kwa watumishi alipoingia JPM huo utaratibu ndio ulikufa
 
Katika hali ya kushangaza mwezi uliosha na mwezi huu, mishahara ya watumishi imeanza kutoka kwa mafungu mafungu yaani kwa kada au wilaya!! Mfano mwezi huu Kunawatu wamepata mshahara jumamosi ya tarehe 21 na ijumaaa ya tarehe 20, na wengine wamekuja kuupata tarehe 24 na 23 na wengine mpaka sasa hawajapata!

Kwa kawaida toka awamu ya tano mshara ulitoka kwa watumishi wote wote siku moja, sema kuupata ilitofautiana masaa!! Hii inatukumbisha enzi za JK kuna kipindi mishahara ilikuwa sio ya uhakika sana na ilipitiliza mpaka tarehe 5!!

Ikumbukwe kama ukimlipa mshahara mtu tarehe 20, basi tarehe 20 ya mwezi unao fuata anakuwa amekamilisha siku thelathin hivyo nihaki yake kulipwa

Je hii ni indicator kuwa hazina kuna hali tete??

Shida tuuuuuuuupu!!
Tofauti ya mabenki hasa ikizingatiwa pesa ilitoka weekend
 
Wewe ni muongo.
Mimi nimeanza kazi mwaka 2012 kipindi cha JK sijawahi kuona mshahara umetoka kwa kuchelewa hadi tarehe tano.
Awamu ya shamba kutoka Chato haisafishiki.
Dogo... Kuna mambo usibishe au waulize baba na kaka zako. Kipindi cha kikwete tuliwahi lipwa salary na Bakhresa. Ni kawaida tu huhitaji kutokwa povu
 
Nenda kamfufue huko Chato au kazikwe nae mshamba mwenzako.

Back
Top Bottom