Somaiyo
Senior Member
- Jul 1, 2022
- 102
- 184
Katika hali ya kushangaza mwezi uliosha na mwezi huu, mishahara ya watumishi imeanza kutoka kwa mafungu mafungu yaani kwa kada au wilaya. Mfano mwezi huu kuna watu wamepata mshahara Jumamosi ya tarehe 21 na Ijumaaa ya tarehe 20, na wengine wamekuja kuupata tarehe 24 na 23 na wengine mpaka sasa hawajapata!
Kwa kawaida toka awamu ya tano mshara ulitoka kwa watumishi wote wote siku moja, sema kuupata ilitofautiana masaa. Hii inatukumbisha enzi za JK kuna kipindi mishahara ilikuwa siyo ya uhakika sana na ilipitiliza mpaka tarehe 5.
Ikumbukwe kama ukimlipa mshahara mtu tarehe 20, basi tarehe 20 ya mwezi unao fuata anakuwa amekamilisha siku thelathini hivyo ni haki yake kulipwa.
Je, hii ni indicator kuwa hazina kuna hali tete?
Shida tuuuuuuuupu!