Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga).

Hivyo, kutokana pia na ukweli kuwa sababu mojawapo kubwa ya watumishi kutaka nyongeza ya mishahara ni ili wakopesheke katika taasisi za fedha hasa mabenki ili waweze kuendesha maisha yao ikwamo kupata mitaji, kujenga, n.k.

Hata hivyo, watumshii wengi kwa sasa hawakopesheki kutokana na kubanwa na sheria inayotaka mtumishi kubaki na walau na moja ya tatu ya mshahara wake baada ya makato yote yakiwemo makato ya alzima kisheria ( PAYE, BIMA YA AFYA, n.k).

Hivyo, ili kuwasaidia watumishi ambao kwa sasa ni kama wako katika mkwamo baada ya kupata nyongeza isiyotosheleza mahitaji wala kuwawezesha kukopa, nashauri serikali ifanya mambo yafuatayo:-

1. Watumishi sssa waruhusiwe kukopa kupitia posho wanazopata kila mwezi.

Serikali, kwa kushirikiana na taasisi za kifedha kama mabenki, waingie makubaliano kuruhusu posho zinazolipwa kila mwezi zitumike kuombea mikopo walau ya muda mfupi ( mwaka mmoja mpaka miaka miwili ikiwezekana).

Posho serikalini ziko za aina nyingi na ziko ambazo hulipwa karibu kila mwezi na hizi ndio hasa zinaweza kutumika katika mpango huu wa kuwasaidia watumishi waweze kukopesheka.

2. Serikali itazame upya sheria inayoka mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshahara ghafi wake (basi salary).

Kutokana na tofauti kubwa ya mishahara serikalini, si sahihi kuwataka watumishi wote kubaki na walau moja ya tatu ya basic salary zao wakati wana viwango tofauti vya mishahara.

Kwa mfano, mtumishi mwenye mshahara wa milioni moja na nusu au zaidi, kwaninii asipewe wigo mkubwa zaidi wa kukopa kulingana na mshahara wake?

Nafikiri wakati umefikia sheria hii itazamwe upya kuruhusu watumishi wenye mishahara mikubwa wakope zaidi kwani bado wanaweza kubaki na take home ya kutosha kuendesha maisha yao japo siku zote mshahara huwa hautoshi.

Kama ambavyo sheria au taratibu hubadilishwa kulingana na mahitaji ya wakati, basi ni wakati sahihi kwa serikali kubadili hii sheria/kanuni kuwwzesha watumishi kukopa na kuendesha maisha yao.

Kama serikali haitaki kubadili hii sheria na kuruhusu baadhi ya posho kutumika kuchukulia mikopo, basi iwe tayari kuboresha masilahi ya watumishi ikiwemo kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa kiwango cha kuridhisha.
 
Watanzania wengi hamuelewi uchumi kabisa na nchi inajengwaje, Mishahara inaweza tu kupanda kama productivity ikipanda na hakuna uchawi mwingine, bila ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi kipato hakiwezi kuongezeka hata iweje.

Hivyo ni kazi tu ndiyo inayoweza kutuokoa, Productivity ikiongezeka kila mahali kuanzia shambani mpaka kwenye miundo mbinu ndiyo sasa kipato kinaweza kupanda, got it ?
 
Moja ya tatu siafiki. Uliza wanufaikaji wa bodi ya mkopo walio kuwa wamekopa hadi moja ya tatu baadae magufuli alipo ongia akaingiza sheria ya asilimia 15 moja ya tatu za wanufaikaji hao zikashuka.
Namna walivyo ishi ni mfano wa mashetani kama alivyo sema magufuli mwenyewe
 
Bajeti ya mishahara imeongezeka kwa asilimia 19.1. Watumishi wameongezewa 4%, 3.5% 3%, 2%, mpaka 0.2% pesa nyigine imeenda wapi?

Waloongezewa 20% ni wale kima cha chini maana yake walioajiriwa juzi ambao hawafiki 13,000.

Mama hata hili halioni?
 
Maza kaleta dharau nzuri kwa watumishi, ifike sehemu wajitambui wajui haki zao na siyo hisani ya mtawala, tatizo la nchi hii nguvu kubwa imewekwa kwenye posho za wakubwa per diem, kuna sababu gani mtu kumlipa perdiem 250,000 kwa uchumi upi? anaenda kulala lodge gani hiyo hapa Tanzania? maana lodge nyingi nzuri ni kati ya 30,000 - 60,000 tena nzuri za kisasa badala hizo za anasa.
 
Waanze Bungeni kumlipa mbunge perdiem 300,000 huku wakilala gesti bila kuwasahau COVID 19 wanaofuja jasho zawatz wazi wazi
 
Watanzania wengi hamuelewi uchumi kabisa na nchi inajengwaje, Mishahara inaweza tu kupanda kama productivity ikipanda na hakuna uchawi mwingine, bila ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi kipato hakiwezi kuongezeka hata iweje.

Hivyo ni kazi tu ndiyo inayoweza kutuokoa, Productivity ikiongezeka kila mahali kuanzia shambani mpaka kwenye miundo mbinu ndiyo sasa kipato kinaweza kupanda, got it ?
Kipato kinaongezeka sana tu, sema mijizi ndiyo mingi inafanya pesa isionekane!
Huoni migari ya milioni 600 inavyonunuliwa kwa kasi ili tu wafurahie maisha?
Lakini lawama zote utasikia "wafanya kazi ni wavivu sana"
Kamwe huwasikii wakisema "tumeiba sanaaa' ukweli ni kwamba wenye dhamana ya uongozi wengi wao, ni wezi, walafi na wabinafsi mnooo!
 
Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga).

Hivyo, kutokana pia na ukweli kuwa sababu mojawapo kubwa ya watumishi kutaka nyongeza ya mishahara ni ili wakopesheke katika taasisi za fedha hasa mabenki ili waweze kuendesha maisha yao ikwamo kupata mitaji, kujenga, n.k.

Hata hivyo, watumshii wengi kwa sasa hawakopesheki kutokana na kubanwa na sheria inayotaka mtumishi kubaki na walau na moja ya tatu ya mshahara wake baada ya makato yote yakiwemo makato ya alzima kisheria ( PAYE, BIMA YA AFYA, n.k).

Hivyo, ili kuwasaidia watumishi ambao kwa sasa ni kama wako katika mkwamo baada ya kupata nyongeza isiyotosheleza mahitaji wala kuwawezesha kukopa, nashauri serikali ifanya mambo yafuatayo:-

1. Watumishi sssa waruhusiwe kukopa kupitia posho wanazopata kila mwezi.

Serikali, kwa kushirikiana na taasisi za kifedha kama mabenki, waingie makubaliano kuruhusu posho zinazolipwa kila mwezi zitumike kuombea mikopo walau ya muda mfupi ( mwaka mmoja mpaka miaka miwili ikiwezekana).

Posho serikalini ziko za aina nyingi na ziko ambazo hulipwa karibu kila mwezi na hizi ndio hasa zinaweza kutumika katika mpango huu wa kuwasaidia watumishi waweze kukopesheka.

2. Serikali itazame upya sheria inayoka mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshahara ghafi wake (basi salary).

Kutokana na tofauti kubwa ya mishahara serikalini, si sahihi kuwataka watumishi wote kubaki na walau moja ya tatu ya basic salary zao.

Kwa mfano, mtumishi mwenye mshahara wa milioni moja na nusu au zaidi, kwaninii asipewe wigo mkubwa zaidi wa kukopa kulingana na mshahara wake?

Nafikiri wakati umefikia sheria hii itazamwe upya kuruhusu watumishi wenye mishahara mikubwa wakope zaidi kwani bado wanaweza kubaki na take home ya kutosha kuendesha maisha yao japo siku zote mshahara huwa hautoshi.

Kama ambavyo sheria au taratibu hubadilishwa kulingana na mahitaji ya wakati, basi ni wakati sahihi kwa serikali kubadili hii sheria/kanuni kuwwzesha watumishi kukopa na kuendesha maisha yao.

Kama serikali haitaki kubadili hii sheria na kuruhusu baadhi ya posho kutumika kuchukulia mikopo, basi iwe tayari kuboresha masilahi ya watumishi ikiwemo kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa kiwango cha kuridhisha.
Chadema mnapenda sana mikopo
 
Maza kaleta dharau nzuri kwa watumishi, ifike sehemu wajitambui wajui haki zao na siyo hisani ya mtawala, tatizo la nchi hii nguvu kubwa imewekwa kwenye posho za wakubwa per diem, kuna sababu gani mtu kumlipa perdiem 250,000 kwa uchumi upi? anaenda kulala lodge gani hiyo hapa Tanzania? maana lodge nyingi nzuri ni kati ya 30,000 - 60,000 tena nzuri za kisasa badala hizo za anasa.
Unajua Mbowe na Mnyika wanalipwa bei gani kwenye vikao vya Maridhiano?
 
Hakuna mwanasiasa anayewatakia mema isipokuwa Hayati Magufuli pekee enzi hizo.

Mwacheni mama aupige mwingi na watu waendelee kulamba asali at Tanzanians' expense.

Si mnamwona Mbowe yupo busy na buyu la asali sahivi. 😁
 
Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga).

Hivyo, kutokana pia na ukweli kuwa sababu mojawapo kubwa ya watumishi kutaka nyongeza ya mishahara ni ili wakopesheke katika taasisi za fedha hasa mabenki ili waweze kuendesha maisha yao ikwamo kupata mitaji, kujenga, n.k.

Hata hivyo, watumshii wengi kwa sasa hawakopesheki kutokana na kubanwa na sheria inayotaka mtumishi kubaki na walau na moja ya tatu ya mshahara wake baada ya makato yote yakiwemo makato ya alzima kisheria ( PAYE, BIMA YA AFYA, n.k).

Hivyo, ili kuwasaidia watumishi ambao kwa sasa ni kama wako katika mkwamo baada ya kupata nyongeza isiyotosheleza mahitaji wala kuwawezesha kukopa, nashauri serikali ifanya mambo yafuatayo:-

1. Watumishi sssa waruhusiwe kukopa kupitia posho wanazopata kila mwezi.

Serikali, kwa kushirikiana na taasisi za kifedha kama mabenki, waingie makubaliano kuruhusu posho zinazolipwa kila mwezi zitumike kuombea mikopo walau ya muda mfupi ( mwaka mmoja mpaka miaka miwili ikiwezekana).

Posho serikalini ziko za aina nyingi na ziko ambazo hulipwa karibu kila mwezi na hizi ndio hasa zinaweza kutumika katika mpango huu wa kuwasaidia watumishi waweze kukopesheka.

2. Serikali itazame upya sheria inayoka mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshahara ghafi wake (basi salary).

Kutokana na tofauti kubwa ya mishahara serikalini, si sahihi kuwataka watumishi wote kubaki na walau moja ya tatu ya basic salary zao.

Kwa mfano, mtumishi mwenye mshahara wa milioni moja na nusu au zaidi, kwaninii asipewe wigo mkubwa zaidi wa kukopa kulingana na mshahara wake?

Nafikiri wakati umefikia sheria hii itazamwe upya kuruhusu watumishi wenye mishahara mikubwa wakope zaidi kwani bado wanaweza kubaki na take home ya kutosha kuendesha maisha yao japo siku zote mshahara huwa hautoshi.

Kama ambavyo sheria au taratibu hubadilishwa kulingana na mahitaji ya wakati, basi ni wakati sahihi kwa serikali kubadili hii sheria/kanuni kuwwzesha watumishi kukopa na kuendesha maisha yao.

Kama serikali haitaki kubadili hii sheria na kuruhusu baadhi ya posho kutumika kuchukulia mikopo, basi iwe tayari kuboresha masilahi ya watumishi ikiwemo kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa kiwango cha kuridhisha.
Kama unaona mshahara haukutoshi,piga chini hiyo kazi yao,alafu ingia kitaa utengeneze mshahara wako unaoutaka wwe!! Mbona life iko very simple sana! Sema wengine ndiyo mna complicate life!!
 
We unafanya kazi benki nini?
 
Mkuu kuna baadhi ya watumishi hawapati iyo posho kabisaaa vp kuhusu wao
 
Hakuna mwanasiasa anayewatakia mema isipokuwa Hayati Magufuli pekee enzi hizo.

Mwacheni mama aupige mwingi na watu waendelee kulamba asali at Tanzanians' expense.

Si mnamwona Mbowe yupo busy na buyu la asali sahivi. 😁
Huyo Magufuli alienyonga watumishi!Uwe na aibu!
 
Mkuu kuna baadhi ya watumishi hawapati iyo posho kabisaaa vp kuhusu wao
Ndio maana nimesema sheria ya moja ya tatu itazamwe upya kwani hii inahusu watumishi wote hata wasiopata posho.
 
Watanzania wengi hamuelewi uchumi kabisa na nchi inajengwaje, Mishahara inaweza tu kupanda kama productivity ikipanda na hakuna uchawi mwingine, bila ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi kipato hakiwezi kuongezeka hata iweje.

Hivyo ni kazi tu ndiyo inayoweza kutuokoa, Productivity ikiongezeka kila mahali kuanzia shambani mpaka kwenye miundo mbinu ndiyo sasa kipato kinaweza kupanda, got it ?
Yani watu hawawazi kabisa kufanya kazi.. kunatofauti kubwa sana ya wafanyakazi wa serikali na private hata kama wote wamesomea kitu kimoja wa private lazima awe competent zaidi..

Ila kwenye kudai pesa watu wanalalamika vibaya mno..

Magufuli hakuwa mnafiki.. na siku zote ukitaka kuchukiwa na walimwengu usiwe mnafki

Ili pato la taifa lipande lazima biasha ya export iwekubwa.. ili tupate pesa nyingi za kigeni sio kwa kutegemea utalii tuu

Binafsi naona swala la viwanda bado ni muhimu.. watumie hata FDI(Foreign Direct Investment) maviwanda ya liyofungwa yafunguliwe kama pale tanganyika packers n.k

Tofauti na hapo miaka Michache ijayo tutatafutana.. viongozi ambao hawafikirii kesho ya nchi yetu hawatufai hata kidogo
 
Bajeti ya mishahara imeongezeka kwa asilimia 19.1. Watumishi wameongezewa 4%, 3.5% 3%, 2%, mpaka 0.2% pesa nyigine imeenda wapi?

Waloongezewa 20% ni wale kima cha chini maana yake walioajiriwa juzi ambao hawafiki 13,000.

Mama hata hili halioni?
Unaelewa maana ya bajeti? Hivi walimu mna shida gani?
 
Back
Top Bottom