Mishahara mikubwa waliokuwa wanalipana Nyerere na viongozi wenzake kweli ilikuwa ni sahihi

Mishahara mikubwa waliokuwa wanalipana Nyerere na viongozi wenzake kweli ilikuwa ni sahihi

"Masikini anayepata shilingi 200 kwa mwezi itamchukuwa miaka 25 kufikia kiwango cha mshahara wangu kwa mwezi......"

Ritz.
Hapo kimaHesabu si sahihi. Angepaswa kusema ".. Itamchukua miezi 25...". Badala ya miaka 25.
 
Last edited by a moderator:
[FONT=comic sans ms [USER=34266]Ritz[/USER] , kati ya habari yako na ya Mchambuzi ipi inaweza kuchambuliwa kwa uhalisia[/FONT]


Mkuu Nguruvi3
Post ya Mtambuzi na Ritz zina maudhui tofauti.

Hiyo ya Ritz imeegemea kuonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa anahamasisha usawa wakati yeye mwenyewe haonyeshi mfano.

Wakati Mtambuzi yeye amejarbu kuonyesha classes zilivyokuwa. Hizo hizo classes zimetengenezwa na Nyerere.

Bado Nyerere hatuwezi kumtoa ktk hii kashfa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom