Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 24, 2013 #81 "Masikini anayepata shilingi 200 kwa mwezi itamchukuwa miaka 25 kufikia kiwango cha mshahara wangu kwa mwezi......" Click to expand... Ritz. Hapo kimaHesabu si sahihi. Angepaswa kusema ".. Itamchukua miezi 25...". Badala ya miaka 25. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
"Masikini anayepata shilingi 200 kwa mwezi itamchukuwa miaka 25 kufikia kiwango cha mshahara wangu kwa mwezi......" Click to expand... Ritz. Hapo kimaHesabu si sahihi. Angepaswa kusema ".. Itamchukua miezi 25...". Badala ya miaka 25.
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 24, 2013 #82 Nguruvi3 said: [FONT=comic sans ms [USER=34266]Ritz[/USER] , kati ya habari yako na ya Mchambuzi ipi inaweza kuchambuliwa kwa uhalisia[/FONT] Click to expand... Mkuu Nguruvi3 Post ya Mtambuzi na Ritz zina maudhui tofauti. Hiyo ya Ritz imeegemea kuonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa anahamasisha usawa wakati yeye mwenyewe haonyeshi mfano. Wakati Mtambuzi yeye amejarbu kuonyesha classes zilivyokuwa. Hizo hizo classes zimetengenezwa na Nyerere. Bado Nyerere hatuwezi kumtoa ktk hii kashfa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nguruvi3 said: [FONT=comic sans ms [USER=34266]Ritz[/USER] , kati ya habari yako na ya Mchambuzi ipi inaweza kuchambuliwa kwa uhalisia[/FONT] Click to expand... Mkuu Nguruvi3 Post ya Mtambuzi na Ritz zina maudhui tofauti. Hiyo ya Ritz imeegemea kuonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa anahamasisha usawa wakati yeye mwenyewe haonyeshi mfano. Wakati Mtambuzi yeye amejarbu kuonyesha classes zilivyokuwa. Hizo hizo classes zimetengenezwa na Nyerere. Bado Nyerere hatuwezi kumtoa ktk hii kashfa.