SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 462
- 740
Kwani kwenye tangazo la ajira scale yao ilikuwaje ?Habari wakuu,
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Kama mnakumbuka, wiki mbili au tatu zilizopita niliwahi kuomba msaada hapa kuhusu maswali ya usaili wa nafasi ya Registration Officer II upande wa NIDA. Nawashukuru wote mliochangia. Kwa neema ya Mungu, mdogo wangu ambaye nilikuwa namtafutia hayo maswali amefaulu na amepata nafasi hiyo.
Hata hivyo, kuna changamoto kidogo. Tayari alikuwa ameanza kazi kwenye shirika binafsi ambapo analipwa TSh 2.5 milioni take-home kwa mwezi, ingawa ana mkataba wa miaka minne.
Sasa kabla sijampa ushauri wa kufanya uamuzi, ningependa kupata maoni kutoka kwa wenye uzoefu au wanaofahamu.
Je, Registration Officer II wa NIDA anayekuwa ameajiriwa kwa mara ya kwanza analipwa kiasi gani? Pia, mbali na mshahara, kuna faida gani za kufanya kazi NIDA ambazo zinaweza kufanya iwe na busara kuacha kazi ya private sector na kuhamia huko?
Nitashukuru sana kwa mchango wenu, hasa kutoka kwa wenye uzoefu au taarifa sahihi.
Asanteni sana.
NB: Juzi nimeona wametoa gawio kubwa sana serikalini la 60+ Billion (my take -inaonesha wako vizuri sana kwenye revenue hawa jamaa).
Seran Wisle Mad Max
NIDA SS 5Kwani kwenye tangazo la ajira scale yao ilikuwaje ?
Ana DegreeTake home za majority ya waajiriwa wa serikali huwa haizidi 1.2M kwa anayeanza.
Ana level gani ya elimu?
Very interesting! Yaani aache mshahara wa 2.5 (take home) private sector na mkataba wako wa miaka 4! Eti aende kuajiriwa serikalini kwa mshahara wa chini milioni 1! Hapo lazima uchawi utahusika.Habari wakuu,
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Kama mnakumbuka, wiki mbili au tatu zilizopita niliwahi kuomba msaada hapa kuhusu maswali ya usaili wa nafasi ya Registration Officer II upande wa NIDA. Nawashukuru wote mliochangia. Kwa neema ya Mungu, mdogo wangu ambaye nilikuwa namtafutia hayo maswali amefaulu na amepata nafasi hiyo.
Hata hivyo, kuna changamoto kidogo. Tayari alikuwa ameanza kazi kwenye shirika binafsi ambapo analipwa TSh 2.5 milioni take-home kwa mwezi, ingawa ana mkataba wa miaka minne.
Sasa kabla sijampa ushauri wa kufanya uamuzi, ningependa kupata maoni kutoka kwa wenye uzoefu au wanaofahamu.
Je, Registration Officer II wa NIDA anayekuwa ameajiriwa kwa mara ya kwanza analipwa kiasi gani? Pia, mbali na mshahara, kuna faida gani za kufanya kazi NIDA ambazo zinaweza kufanya iwe na busara kuacha kazi ya private sector na kuhamia huko?
Nitashukuru sana kwa mchango wenu, hasa kutoka kwa wenye uzoefu au taarifa sahihi.
Asanteni sana.
NB: Juzi nimeona wametoa gawio kubwa sana serikalini la 60+ Billion (my take -inaonesha wako vizuri sana kwenye revenue hawa jamaa).
Seran Wisle Mad Max
Ndio maana nimelete huku ili nijue wanalipa kiasi gani?Very interesting! Yaani aache mshahara wa 2.5 (take home) private sector na mkataba wako wa miaka 4! Eti aende kuajiriwa serikalini kwa mshahara wa chini milioni 1! Hapo lazima uchawi utahusika.
Miaka minne aki save hata milioni 1 tu kila mwezi si anakuwa na mtaji wa kutosha kabisa kujiajiri iwapo hataongezewa mkataba!
Hawawezi kumlipa hata nusu ya huo mshahara kwa mtu anayeanza kazi. Kama ni mpambanaji ni bora akajikusanyia zake mtaji wa kumuwezesha kupambana mtaani. Ila kama ni muoga wa maisha na hana uwezo wa kuhifadhi akiba, akubali kujitia kitanzi serikalini.Ndio maana nimelete huku ili nijue wanalipa kiasi gani?
Hizo mamlaka za udhibiti sio taasisi za serikali? Umasema TPA hakuna maajabu wakati wana njia za kukusanya mapato? Kwani NSSF na PSSF ni mamlaka za udhibiti mbona mishahara yao ni mizuri? Mimi nimachofahamu taasisi ikiwa na njia za mapato inakuwa rahisi kulipa mishahara mizuri kwa sababu ina chanzo cha mapatoNIDA ni taasisi ya serikali sio mamlaka ya udhibiti , Mamlaka ya udhibiti ndipo kuna mishahara minono Hiyo ni kutokana na sheria za mashikirika ya Umma. Ukienda mamlaka ya udhibiti kama EWURA , TCRA , TCAA, LATRA , TASAC kulipwa hata mil 4 ni kawaida . Pesa za chini zipo ila kulipwa parefu asahau .
Lazima ujue shirika ni mamlaka ya udhibiti au taasisi ya kawaida , hata pale TPA hawana maajabu kweny mishahara kwa vile sio mamlaka ya udhibiti ila pesa wanapiga za chini chini , wakitaka kupandisha mishahara japo fungu lipo ila wanapigwa rungu la sheria za viwango vya mishahara ya Mamlaka za udhibiti na taasisi .
Oh sawa!Angebaki tu private aisee! Kama analilia job security basi hana budi kwenda serikalini, ila ndio atatupwa sijui wilaya gani, na kazi za serikalini nyingi mishahara ni laki 8!
Kama ameshapata hiyo ajira kwanini hawajamwambia kiasi cha mshahara atakaolipwa?Habari wakuu,
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Kama mnakumbuka, wiki mbili au tatu zilizopita niliwahi kuomba msaada hapa kuhusu maswali ya usaili wa nafasi ya Registration Officer II upande wa NIDA. Nawashukuru wote mliochangia. Kwa neema ya Mungu, mdogo wangu ambaye nilikuwa namtafutia hayo maswali amefaulu na amepata nafasi hiyo.
Hata hivyo, kuna changamoto kidogo. Tayari alikuwa ameanza kazi kwenye shirika binafsi ambapo analipwa TSh 2.5 milioni take-home kwa mwezi, ingawa ana mkataba wa miaka minne.
Sasa kabla sijampa ushauri wa kufanya uamuzi, ningependa kupata maoni kutoka kwa wenye uzoefu au wanaofahamu.
Je, Registration Officer II wa NIDA anayekuwa ameajiriwa kwa mara ya kwanza analipwa kiasi gani? Pia, mbali na mshahara, kuna faida gani za kufanya kazi NIDA ambazo zinaweza kufanya iwe na busara kuacha kazi ya private sector na kuhamia huko?
Nitashukuru sana kwa mchango wenu, hasa kutoka kwa wenye uzoefu au taarifa sahihi.
Asanteni sana.
NB: Juzi nimeona wametoa gawio kubwa sana serikalini la 60+ Billion (my take -inaonesha wako vizuri sana kwenye revenue hawa jamaa).
Seran Wisle Mad Max
π π π Kijana uliza uambiwe kwanza ,TPA inakusanya zaidi ya bil 204 ,huku TASAC inakusanya bil 20 ,ila TPA iko chini ya TASAC ..TASAC wana mishahara kufuru hauwezi kufananisha hata nusu ya TPA .Hizo mamlaka za udhibiti sio taasisi za serikali? Umasema TPA hakuna maajabu wakati wana njia za kukusanya mapato? Kwani NSSF na PSSF ni mamlaka za udhibiti mbona mishahara yao ni mizuri? Mimi nimachofahamu taasisi ikiwa na njia za mapato inakuwa rahisi kulipa mishahara mizuri kwa sababu ina chanzo cha mapato