Mishahara minono kwa kwa wafanyakazi wa NIDA

Mishahara minono kwa kwa wafanyakazi wa NIDA

Ha
Dah , kichwa ngumu hata kuelewa ni mtihani, basi hakuna mtu atakutajia mshahara kama unashindwa kufungua code hiyo .
Hakuna code yoyote hapo! Umeshindwa kukubali kwamba huna taarifa kamili, unatoa mawazo kwa assumptions
 
SÀMAHANI: NIDA wanafanya biashara Gani Hadi wapate faida ya kutoa gawio la billioni hivyo kuzidi ht Tanesko?? Vitambulisho vya NIDA vinauzwa sikuhizi?? Sana sana labda ukipoteza ndo utachajiwa usumbufu kutengeneza kingine ambapo ni kesi chache.
 
Pitia hapa 👇👇

Pitia hapa 👇👇

Usibabaike na GAWIO ,angalia wanatoa gawio kwa mara ya ngapi ? Inawekezekana wanaanza na ni arrears za nyuma ...Hiyo narudia tena sio mamlaka ya uthibiti ni taasisi ya kawaida ,hivyo viwango vyao vya mshahara ni kawaida ila posho uhakika zipo za kutosha...Anaweza kupata posho nyingi kuliko hata mshahara.
 
SÀMAHANI: NIDA wanafanya biashara Gani Hadi wapate faida ya kutoa gawio la billioni hivyo kuzidi ht Tanesko?? Vitambulisho vya NIDA vinauzwa sikuhizi?? Sana sana labda ukipoteza ndo utachajiwa usumbufu kutengeneza kingine ambapo ni kesi chache.
Kuna kitu kinaitwa API kwa watu wa IT. hivi unajua kwa kila mfumo ambao wewe utaingiza NIDA yako, huo mfumo unawalipa NIDA kwa kila search 1 unayoifanya? Mabenki na mitandao ya simu wale wanalipia kwa mkupuo, ila hii mifumo mingine yote inayoibuka ya kutaka kuhakiki taarifa zako, wanalipia. Sasa jiulize, ni QUERY ngapi zinafanyika huko kwenye mfumo wa NIDA, kuna ile kuvuta, unalipia. Ukikosea majibu nayo ukirudia UNALIPA TENA. Nazani ushajua NIDA inapata wapi hela zake. Hi ni njia kuu, zingine ndogo ndogo ndio kama hizo za ku-renew ID, kurekebisha taarifa, nk
 
Back
Top Bottom