Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
 
Serikali iliahidi kulipya mishahara mipya mwezi huu,
Watumishi wa umma wana matumaini hayo.

Serikali itekeleze ahadi yake na iepuke kukatisha tamaa wafanyakazi wake na kushusha mori ya utendaji kazi.

Wabunge mliopo bungeni na vyama vya wafanyakazi ikumbusheni serikali jambo hili lililojaa kigugumizi.
Waziri wa utumishi atoe kauli bungeni juu ya swala hii pamoja na ajira mpya.
 
hela za kuhamia dodoma zinatoka wapi za kagera hazijatosha japo ilikuwa ni rambirambi
 
Serikali iliahidi kulipya mishahara mipya mwezi huu,
Watumishi wa umma wana matumaini hayo.

Serikali itekeleze ahadi yake na iepuke kukatisha tamaa wafanyakazi wake na kushusha mori ya utendaji kazi.

Wabunge mliopo bungeni na vyama vya wafanyakazi ikumbusheni serikali jambo hili lililojaa kigugumizi.
Waziri wa utumishi atoe kauli bungeni juu ya swala hii pamoja na ajira mpya.
 
Tafuteni kipato cha ziada. Acheni kujibweteka na mascale ya ajabu ajabu
 
Ahadi hiyo ilitolewa lini na wapi my ndugu RingaRinga?
 
Niko ofcn lkn nimetoka kidogo kuna deal nafukuzia, kukiwa na ishu watanishtua
 
Tumuombe Mungu atukumbuke watumishi maana tumechukiwa vibaya mno
 
Kweli mana pesa ikifika kwetu Basi wale wachini yetu wasio watumishi ndio maisha yana songa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…