Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
Mishahara haipandi mwezi huu Labda wa 9
 
Bado sana
 
Lazima ziwe announced... izo tetesi labda zinatoka》》 ijumaa/sani/uwazi/
 
Umeitoa wapi hii?
 
Mkuu, sidhani kama hivi viwango ni vya kweli, but lets say ni vywa kweli, kjna tabu gani mwalimu wa nursery kupokea 0. 5 M???
Taabu inakuja pale anapompita mwenye degree ya uhasibu toka SAUT. Huyu mhasibu ataona hathaminiwi hivyo atasepa na fedha yetu.
 
Magufuli ameshasema haongezi kitu mpaka uhakiki upite we u akurupuka hapa na habari zako ovyoooooo
 
kama madaktari level ya degree walikua wanapokea mshahara mkubwa kuliko mwalimu Wa level ya degree sasa watashushwa hadi kufikia tgts hizo hapo juu!
Basi nao sasa wataanzisha vi tuition vyao mitaani, watatufanyia operesheni huku wakipiga miayo kwa njaa kitu kinachoweza kuhatarisha uhai wetu sisi masikini ambao hatuna uwezo wa kutibiwa kwenye hospitali ambazo wakubwa huwa wanatibiwa.

Hatukatai walimu au watumishi wengine wa umma kupandishwa mishahara, tunachokataa ni madaktari wetu kupunguziwa mishahara.
 

Hizi scales ni ktk sekta ya ualimu, I think. Japo hii kitu ni ya kwako tu, haina uthibitisho na jamaa alishasema hakuna nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma!!

Tanzania Government Teachers' Salary (TGTS)
 
Hii ni idara au kada gani ya utumishi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…