Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho

Sasa mbona umeweka scale ya TGTS tu? Vipi kuhusu PUTS, PGSS, PGMS na nyinginezo?
 
Kama ni kweli basi kidumu chama cha mapinduzi,lakini kama ni uongo kiyeyuke tu.
 
KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000

TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU

tunahitaji uthibisho
Acha utani mkuu kama kweli, hivi kweli ni kweli? lete evidences tuanze kujiramba
 
Wekeni na mishahara mipya ya sisi watu wa afya
 
Hakuna sababu ya kupotosha! Suala Hilo kama lipo wahusika watajua muda ukifika! Na ukitaka kujua kuwa Ni upotoshaji,mishahara inakuwaje ibadikike kwa kada 1 tu ya watumishi?
 
Taabu inakuja pale anapompita mwenye degree ya uhasibu toka SAUT. Huyu mhasibu ataona hathaminiwi hivyo atasepa na fedha yetu.
Nadhani kuna jambo unakosea alafu hujui ka hujui, kwanza unagusa chuo cha saut as if ndo wanaotoka wenye bachelor pekee, jingine ni kwamba kwa taarifa yako mwl mwenye bachelor basic yake ni 716000 kwa sasa. So unaposema cjui mhasibu kutoka saut apitwe na mwl wa mcngi itakua ni dharau kidogo nakushangaa.
 
Magufuli hawezi kuruhusu mshahara kuongezeka hivyo!Anawaonea wivu mno wafanyakaz kupata pesa hivhiv.Jpm si ajabu huwa anajishika kichwani kila anapouona mtumishi wa umma anapata hela.
 
KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho
Uthubitisho toka kwa nani na ww ndio uliotoa taarifa?
 
Taabu inakuja pale anapompita mwenye degree ya uhasibu toka SAUT. Huyu mhasibu ataona hathaminiwi hivyo atasepa na fedha yetu.
Wahitimu wa SAUT wana mishahara tofauti na wahitimu wa vyuo vikuu vingine?
 
Magufuli hawezi kuruhusu mshahara kuongezeka hivyo!Anawaonea wivu mno wafanyakaz kupata pesa hivhiv.Jpm si ajabu huwa anajishika kichwani kila anapouona mtumishi wa umma anapata hela.
mkuu una hasira sana na mkuru
 
Naomba Mungu iwe kweli, Walimu ni kitu muhimu sana nchi yoyote, mwalimu akisema wanafunzi tutengeneze sanaa za helicopture watoto wetu wazitengeneze wakiwa watoto na sio wazee. wakiwa wakubwa watengeneze helcopture kama za kawaida na bora zaidi. walimu ndio nguzo ya nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom