Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 849
- 497
Tuna safari ndefu sana!!!!Mnasubiri mshahara mpya kama Mlinzi anavyosubiri asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna safari ndefu sana!!!!Mnasubiri mshahara mpya kama Mlinzi anavyosubiri asubuhi
Ni kosa kutoa mishahara namna hii. TunakujaKWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho
Njoo PM Madam.different iliyopo na inayotolewa sahivi ni mdogo sio kubwa kuhivyi! halafu watu kwakutunga number hamjambo ningeweka humu real ila mmmhhh kutumbuliwa na ujana huu nooo
Mkikamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya kimtandao mnaanza kulalamika kuwa serikali hii ni ya kidikteta!!HABARI HII NI LIVE BILA CHENGA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTSG1-1,970,000 8.TGTSH1-2,584,000 9.TGTSI1-2,865,000 PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2016. Asant
Acheni uchochezi!Daktari level ya degree na mwalimu level ya degree walingane mishahara itakuwa tanzania ni nchi ya kwanza!Yaani mwalimu anayesoma miaka mitatu na daktari anayesoma miaka 5 walingane mishahara??Jamani tuache uchochezikama madaktari level ya degree walikua wanapokea mshahara mkubwa kuliko mwalimu Wa level ya degree sasa watashushwa hadi kufikia tgts hizo hapo juu!
uko sawa kiongozhata kama ni kweli hela hiyo bado ni ndogo kwa maisha halisi ya mfanayakazi hususani mwalimu...huo ni ukubwa wa namba tu lakini kiuhalisia hako kahela ni ka kununulia visukari tu....
walimu tuache kujishusha kiasi hicho cha kuanza 'kuhamaki' kabisa eti hela nyingi hizo haiwezekani..
hivi nchi ina gesi, ina rasilimali kibao na tunaambiwa kila mwezi TRA wanavuka lengo..na mheshimiwa katoa watumishi hewa zaidi ya 10000 sasa asipoongeza mishahara hela zote hizo "zinazookolewa" kila siku zitaenda wapi? na kwanini asiwaongezee mashahara walimu kwani wamemkosea nini?
Fuatilia mishahara ya walimu wa Ujerumani na Japan.Acheni uchochezi!Daktari level ya degree na mwalimu level ya degree walingane mishahara itakuwa tanzania ni nchi ya kwanza!Yaani mwalimu anayesoma miaka mitatu na daktari anayesoma miaka 5 walingane mishahara??Jamani tuache uchochezi
Hujui hata niko wapi so ni bora ukakaa kimya, maana umetaja nchi ambayo mojawapo kwa sasa ninavyoandika ndipo nilipoFuatilia mishahara ya walimu wa Ujerumani na Japan.
Usidhani kila nchi inafanya utani na elimu.
kama hata ya mwanzo hujui hutakiwa kujua hata hiiYa mwanzo ilikuaje