OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
source?Mishahara haipandi mwezi huu Labda wa 9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
source?Mishahara haipandi mwezi huu Labda wa 9
usiwe na hofu serikali yetu ni sikivuWatu hawataamini mwisho wa mwezi kukuta ongezeko la elfu tatu litokanalo na ile punguzo la kodi
teachersHii ni idara au kada gani ya utumishi?
Budget ilisomwa gizani, matarajio ya nyongeza yatatokana na lile punguzo la kodi la 2%Watanzania n wajinga sana...kwani nyie bajeti yenu hamkuisikia? Je walisema.patkuwa na nyongeza ya mshshara? WATZ bana
inatokana na kiwango chake cha elimu na muda aliokaa kazini kanyonywaaje?KWA HAPO MWENYE D KANYONYWAAA
kweli ualimu unaudharau kiasi hiki? kwani mwalimu hana haki ya kulipwa mshahara mkubwa?Madaktari wa rufaa mishara imepunguzwa kama tulivyoambiwa jana kule Bugando na katibu mkuu wa wizara ya afya (kama ilivyoandikwa humu Jf).
Sasa imekuwaje waalimu wao mishahara yao imepanda? (NB: Kwa wasiojua hizo salary scales alizo nukuu ni za mishahara ya waalimu tu.
Yaani mwalimu wa chini kabisa anayefundisha ngazi ya vidudu anaanzia zaidi ya Shs 0.5 m kwa mwezi zaidi ya graduate wa SAUT na anamkaribia saana daktari wa rufaa baada ya mshahara wake kuteremshwa.
Asiye amini nami nitamshangaa pia.Hilo punguzo la kweli ndilo la uhakika.haya mengine watu wanajifurahisha tu ili siku ziende! Na pia wajiandae kisaikolojia watakapo kuta matumaini yao hayapoWatu hawataamini mwisho wa mwezi kukuta ongezeko la elfu tatu litokanalo na ile punguzo la kodi
ndio nini hii mkuu?Je TPSW mbona haipo hapo...
Mkuu, na siyo mbali wala, ni takribani majuma 2 tu yanayo kuja.Asiye amini nami nitamshangaa pia.Hilo punguzo la kweli ndilo la uhakika.haya mengine watu wanajifurahisha tu ili siku ziende! Na pia wajiandae kisaikolojia watakapo kuta matumaini yao hayapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimekopi kwa mpotoshaji mmoja
Hahaa,nmecheka saana mkuuMagufuli hawezi kuruhusu mshahara kuongezeka hivyo!Anawaonea wivu mno wafanyakaz kupata pesa hivhiv.Jpm si ajabu huwa anajishika kichwani kila anapouona mtumishi wa umma anapata hela.