Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
Hivi si kuna tume ya marekebisho ya mishahara? Ndio inatakiwa ifanyie kazi hizo na kuelewesha umma! Hizi guessing zinafanya wafanyakazi wapunguze moral wa kazi! Watoe tamko rasmi
 
Leo tarehe 17 Julai, 2016. Hii habari haina haja tena kutumia nguvu zimebaki siku 6 ukweli utajulikana. Tufanye kazi nyingine.
 
TRA wanasoma miaka mingapi? TPA, TANAPA etc! We vip!!
unachanganya mambo, hizi kada zinaajiri in watu wengi ziko kwenye pool la serikali kuu ama serikali za mitaa!kumbuka kuna taasisi na mashirika wao hawa wana salary scale zao!sijui hata wanalipwa shilingi ngapi
 
...hoja mama hapa ilikuwa eti muda mwingi wa kukaa darasani uchukuliwe kama kigezo cha kulipwa pakubwa, haikuwa serikali za mitaa wala taasisi na mashirika ya umma! Nje ya box nilimaanisha hamna correletion ya kusoma miaka mingi na mshahara mkubwa
 
Ukienda kwenye muundo wa ajira serikali kuu na ukaangalia TGS zinavyopangwa utajua naongea nn!waliosoma shahada za Miaka mitatu huanzia TGS D, Minne TGS E, mitano TGS F
 
pia kuna walimu waliosoma BED Arts/Science shahada ya miaka mitatu na wakapangiwa kuwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu walianza na TGTS E kama mshahara wa kuanzia..
Sawa kabisa mkuu. Tena hawa wanawapiga gap wenzao waliosoma nao kwa kuwa tu wanafundisha vyuo vya ualimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom