Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mwisho sio salary ni scaleHizi scales ni ktk sekta ya ualimu, I think. Japo hii kitu ni ya kwako tu, haina uthibitisho na jamaa alishasema hakuna nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma!!
Tanzania Government Teachers' Salary (TGTS)
Sheria pia TGSEimeanza lini? Mimi nilijua TGS E ni engineers,TGSF doctors other degree holder TGSD
tutaisoma kweli kweliHakuna atayepandishiwa mshahara.Nyongeza ya mshahara ilikwisha tangazwa wakati wa sherehe za mei mosi ambapo ni wa kima chini tu ndio wameongezewa sha 7000.
Wengine wote waliobaki hamna nyongeza au ni kipunguziwa.Madaktari wameishaisoma namba.Kada zingine kufata.
Ivi unajua maana ya mishahara mipya?Huyu jamaa hana uhakika, hiyo scale ya TGTS A haipo
Ukisema mipya, itabadilije scale? Labda ulete ufafanuzi.Ivi unajua maana ya mishahara mipya?
Uongo mtupu, hakuna hata chembe ya Ushahidi. Usitegemee chochote cha msingi kutoka serikali hii. Dalili zimeanza mapemahii habari ina kaukweli ndani yake
habar msisimko hiziNaomba Mungu iwe kweli, Walimu ni kitu muhimu sana nchi yoyote, mwalimu akisema wanafunzi tutengeneze sanaa za helicopture watoto wetu wazitengeneze wakiwa watoto na sio wazee. wakiwa wakubwa watengeneze helcopture kama za kawaida na bora zaidi. walimu ndio nguzo ya nchi.