Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.

Tumpe muda tuone.
 
Acha kulalamika mkuu mshahara utatoka jumatatu. Yaani malalamiko yako kimsingi hayana mantiki.

Alafu ukute take home yako hata 500K haifiki eti na wewe unajisemea umpe muda naaani sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Acha kulalamika mkuu mshahara utatoka jumatatu. Yaani malalamiko yako kimsingi hayana mantiki.

Alafu ukute take home yako hata 500K haifiki eti na wewe unajisemea umpe muda naaani sasa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hizi dharau sasa halafu mbaya zaidi mwanaume ndio unamdharau mwanaume mwenzako
Wewe kama 500k ni ndogo kwa mwenzako ni kubwa na inamtosha kha!!!
 
Back
Top Bottom