Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Lkn Watumishi mnapaswa Mumshukuru sana Hayati JPM ambaye alihakikisha mnapata mishahara yenu kila ifikapo trh 22 mpaka trh 23 ya kila mwezi hili halijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru.

tatizo lipo kwa watendaji/watekelezaji, endapo ukikuta watendaji/watekelezaji wana roho mbaya lazima mtaumizwa sana tena sana.

Ombeni sana kwa Mungu watu wenye roho mbaya amabo wamekabidhiwa majukumu ya kutekeleza haki zenu wabadilike kwa kuingiwa na roho mtakatifu au wapotee kabisa duniani.

mfano; ninge kuwa mimi nipo kwenye sekta ya malipo huko hazina, nigejiongeza kulipa mishahara ya watumishi wote leo trh 22 kwa kuwa kesho sio siku ya kazi, lkn wapi bwana....mijitu haibadiliki....roho za ajabu kabisa.
 
Yani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.
 
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
Kama ilikuwa ni hisani kupewa kabla ya mwisho wa mwezi basi usitake iwe sheria
 
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
Bro kama waishi maisha hayo ya kusubiri hivyo mshahara, bora uache kazi. Utakufa maskini. Shauri yako.
 
Hizi dharau sasa halafu mbaya zaidi mwanaume ndio unamdharau mwanaume mwenzako
Wewe kama 500k ni ndogo kwa mwenzako ni kubwa na inamtosha kha!!!
Limbukeni sana uyo sidhani kama maisha anayajua vizuri
 
Yani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.
Japo 23/23 ni sawa na 30/30 lakini kulipwa 23/23 ni afadhali kwa kuwa ile wiki moja i. e. 23-30 hatuihesabu kwa kuwa ukiwa na mshiko inapita haraka sana. Kwa hiyo mahesabu yetu yanaanza tarehe 1 - 23 wiki tatu kitu kinasoma
 
Unachosema ni kweli kabisa mpendwa ila inategemea pia unachopata. Mfano mtu unapata nusu ya kile unachohitaji kwa matumizi ambayo ni ya msingi ni namna gani utasaidia wahitaji
Unajua kusaidia sio had utoe elfu kumi...shilingi mia inatosha sana kumpa mtoto aende shule ale ubuyu..unga,sabuni,nguo,mkaa,pika msos mpe anayesikia njaa...mpe mhitaj hata maji ya kunywa! Tusidhani ni hela tu...
 
Lkn Watumishi mnapaswa Mumshukuru sana Hayati JPM ambaye alihakikisha mnapata mishahara yenu kila ifikapo trh 22 mpaka trh 23 ya kila mwezi hili halijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru.

tatizo lipo kwa watendaji/watekelezaji, endapo ukikuta watendaji/watekelezaji wana roho mbaya lazima mtaumizwa sana tena sana.

Ombeni sana kwa Mungu watu wenye roho mbaya amabo wamekabidhiwa majukumu ya kutekeleza haki zenu wabadilike kwa kuingiwa na roho mtakatifu au wapotee kabisa duniani.

mfano; ninge kuwa mimi nipo kwenye sekta ya malipo huko hazina, nigejiongeza kulipa mishahara ya watumishi wote leo trh 22 kwa kuwa kesho sio siku ya kazi, lkn wapi bwana....mijitu haibadiliki....roho za ajabu kabisa.
Mi ningewalipa tarehe 30, maana idadi ya siku ni zile zile 30.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom