Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Watz bado sana!

Namshangaa sana Samia, nenda kariakoo hapo uone kama mashine za risiti wanatoa tena.

Kama hajaanza kutembeza bakuli hakuna kitu atafanya hapa nchini.
Heshimu watu sponsor hufariki
 
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.

Tumpe muda tuone.
Tatizo la mswahili....mkidekezwa mnadhani ni haki

Mshahara mtalipwa ndani ya mwezi so tulieni hakuna kifungu kilichovunjwa
 
Back
Top Bottom