Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Sawa mkuu, najua wewe kinachokusumbua ni uchama zaidi
On a serious note tuweke uvyama pembeni ..magu alibyofariki yametokea madudu makubwa mno .mie nna imani na samia .sijui kwann!..
Jamaa aliwabana sana vyimbo vya habari so madudu hayakusikika .hapo ndo alipowapata wajinga!...
Mama atasaidia sana kurudisha mzunguko kitaani mkuu..hebu imagune ss hv hata pumba zinaenda Kenya mkuu! Mipaka imefunguliwa tayari ..naamini mzunguki utarudi vyema ingawa sio mapema kiasi hicho ! Kama hukujenga kwa Kikwete this time lazima tujenge aise...mie nimekaa tayari tayari utawala ulr best haukua sio kbs jaman tuseme za ukweli!
 
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.

Tumpe muda tuone.
Hivi hujui hiyo tarehe ilikuwa weekend??

Hata ujuha

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
On a serious note tuweke uvyama pembeni ..magu alibyofariki yametokea madudu makubwa mno .mie nna imani na samia .sijui kwann!..
Jamaa aliwabana sana vyimbo vya habari so madudu hayakusikika .hapo ndo alipowapata wajinga!...
Mama atasaidia sana kurudisha mzunguko kitaani mkuu..hebu imagune ss hv hata pumba zinaenda Kenya mkuu! Mipaka imefunguliwa tayari ..naamini mzunguki utarudi vyema ingawa sio mapema kiasi hicho ! Kama hukujenga kwa Kikwete this time lazima tujenge aise...mie nimekaa tayari tayari utawala ulr best haukua sio kbs jaman tuseme za ukweli!
Sawa.. Ngoja tuone, muda ni mwalimu mzuri
 
JAMANI NAOMBA KUULIZA HOJA YA KUBADILI AKAUNTI YA MSHAHARA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE KUNA CHANGAMOTO YOYOTE WAWEZA PATA? JE INACHELEWA KUBADILISHWA?
Simple tu barua. Unataka kukopa nn. Juzi naenda CRDB eti huwezi kopa kama mshahara unaingia benki nyingine.
 
Back
Top Bottom