Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Ulipata advance hiyo kwasababu bank hudika wakati wanakupatia hwakuwa na taarifa kuwa mshahara wako unaenda kuahmia bank nyingine. Hilo litabaki kuwa kama deni endapo mshahara wa mwezi huu wasipochukua cha kwao na utaendelea kupata meseji kutoka kwao za kukumbusha na riba itaendelea kupanda taratibuIssue nyingine kuhusu hili ni kuhusu salary advance ambayo hutolewa na benki inakopitia mshahara wako. Sasa tangu nibadili akaunti huduma hiyo ktk akaunti mpya (benki) haikubali lakini akaunti ya zamani (benk) inakubali!! Niliwauliza wahudumu wa benki mpya wakaniambia huduma haipatikani kwa sababu akaunti mpya haijawahi pitisha mshahara hivyo hadi uanze kupita!! Sasa nawaza hadi sasa ni kwanini benki ya zamani hadi sasa inaruhusu huduma ya salary advance wakati mshahara nimeubadilishia akaunti??? Au hiyo benki hawajapata taarifa kuwa nimehamisha mshahara?? Hawana mawasiliano na hazina