Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

So ndo maana haijatoka kwa wote au?
Mkuu sekikalini hakuna hela!

Watz na waafrika kwa ujumla hawanaga kanuni ya kulipa kodi kwa hiari, lazima waende kwa fimbo kama alivyokuwa anafanya Magu.

Watu walikuwa wanamuona kama katili lakini ile ndio staili inayofaa kwa walipa kodi wa tz.

Huwa nasema kila siku humu kwamba mtanzania huyu anaefurahia sana konda akisahau kumdai nauli ya sh. 500 ndio akalioe kodi kwa hiari?

Miezi 3 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi maana huenda watu wakalipwa kwa awamu na hapo ndio akili zitawakaa sawa.
 
Hilo somo inabid tuige kwa wakenya aise la kulipa kodi kwa hiari
 
Mkuu sekikalini hakuna hela!

Watz na waafrika kwa ujumla hawanaga kanuni ya kulipa kodi kwa hiari, lazima waende kwa fimbo kama alivyokuwa anafanya Magu.

Watu walikuwa wanamuona kama katili lakini ile ndio staili inayofaa kwa walipa kodi wa tz.

Huwa nasema kila siku humu kwamba mtanzania huyu anaefurahia sana konda akisahau kumdai nauli ya sh. 500 ndio akalioe kodi kwa hiari?

Miezi 3 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi maana huenda watu wakalipwa kwa awamu na hapo ndio akili zitawakaa sawa.
Acha ramli chonganishi.
 
Watz bado sana!

Namshangaa sana Samia, nenda kariakoo hapo uone kama mashine za risiti wanatoa tena.

Kama hajaanza kutembeza bakuli hakuna kitu atafanya hapa nchini.
Usimshangae Samia...tujishangae wote kwann tuko hivi?
 
Mkuu sekikalini hakuna hela!

Watz na waafrika kwa ujumla hawanaga kanuni ya kulipa kodi kwa hiari, lazima waende kwa fimbo kama alivyokuwa anafanya Magu.

Watu walikuwa wanamuona kama katili lakini ile ndio staili inayofaa kwa walipa kodi wa tz.

Huwa nasema kila siku humu kwamba mtanzania huyu anaefurahia sana konda akisahau kumdai nauli ya sh. 500 ndio akalioe kodi kwa hiari?

Miezi 3 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi maana huenda watu wakalipwa kwa awamu na hapo ndio akili zitawakaa sawa.
Acha uwongo... angalia usije ukawa mnafiki kabisa maana ushaingia kwenye sifa ya kwanza tayari!
 
Back
Top Bottom