Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Mkuu sekikalini hakuna hela!

Watz na waafrika kwa ujumla hawanaga kanuni ya kulipa kodi kwa hiari, lazima waende kwa fimbo kama alivyokuwa anafanya Magu.

Watu walikuwa wanamuona kama katili lakini ile ndio staili inayofaa kwa walipa kodi wa tz.

Huwa nasema kila siku humu kwamba mtanzania huyu anaefurahia sana konda akisahau kumdai nauli ya sh. 500 ndio akalioe kodi kwa hiari?

Miezi 3 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi maana huenda watu wakalipwa kwa awamu na hapo ndio akili zitawakaa sawa.
Acheni ku exaggerate mambo aiseeee, kila short fall mnamtaja JIWE, kitu kidogo mara JIWE... kumbuka "no one is indispensable in this world" amesahaulika muasisi wa taifa hili sembuse JIWE?? Halafu ukumbuke kwamba serikali yeyote iliyofanikiwa ni ile tuu yenye MIFUMO imara na inayofanya kazi, na siyo one man show....
 
Hivi hapa nchini hakuna mfumo?

Nakumbuka tukiwa shuleni kuna wiki mwalimu akishika zamu yake shule nzima ni full adabu ila mwingine akishika mitoto hadi saa 4 bado inaingia darasani.

Hii nchi haina shida ya mfumo.
 
Mkuu sekikalini hakuna hela!

Watz na waafrika kwa ujumla hawanaga kanuni ya kulipa kodi kwa hiari, lazima waende kwa fimbo kama alivyokuwa anafanya Magu.

Watu walikuwa wanamuona kama katili lakini ile ndio staili inayofaa kwa walipa kodi wa tz.

Huwa nasema kila siku humu kwamba mtanzania huyu anaefurahia sana konda akisahau kumdai nauli ya sh. 500 ndio akalioe kodi kwa hiari?

Miezi 3 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi maana huenda watu wakalipwa kwa awamu na hapo ndio akili zitawakaa sawa.
Kwa hiyo serikali ya ccm itakua imefeli sio? Mataga bwana.
 
Hivi hapa nchini hakuna mfumo?

Nakumbuka tukiwa shuleni kuna wiki mwalimu akishika zamu yake shule nzima ni full adabu ila mwingine akishika mitoto hadi saa 4 bado inaingia darasani.

Hii nchi haina shida ya mfumo.
Hapo shuleni kwenu ina maana mfumo ni very weak maana anayeogopwa ni Mwl mkuu tuu, kama ilivyokuwa enzi za JIWE. Wenzetu walioendelea wanatumia nguvu nyingi kuimarisha mifumo mbalimbali ili hiyo mifumo ndiyo ifanye kazi ya kusimamia mambo mbalimbali. Mfano kwenye utoaji haki mahakama zitengenezewe mifumo mizuri ya uendeshaji kesi (Kila hakimu apangiwe idadi maalumu ya kesi anazopaswa kusikiliza kwa mwezi/kwa mwaka, kesi ziripotiwe kwa uwazi/waandishi wawepo, kuwepo na sanduku la maoni ili wananchi watoe maoni yao kuhusiana na mahakimu na watumishi wa mahakama, hasa wala rushwa, uhuru wa kumkataa hakimu anayesikiliza kesi yako kama huna imani naye etc etc...
 
Hapa nchini kuna mifumo ipo kila kona!

Shida ni nini?

Shida ni udhaifu wa msimamizi wa mifumo, basi
 
Dhamana ya mkono ni mshahara wako, sasa kama mshahara unapitia NMB na wewe unataka kukopa CRDB inakuja kweli??
Mkopo wa kwanza ulikua poa. Dhamana ni cheque number. Bank unapitisha kwokote. Wanasema hiyo sera imeanza March mwaka huu.
 
Mimi sekta yangu nilipokea juzi ijumaa sasa hivi nimebakiwa na laki 3 na 4,000 na sprite moja na k-vant ndogo ya 4000. Kufika ijumaa sina kitu naanza kuishi kwa kubeti.
 
Imetoka tarehe 24 jioni badala ya tar 23 au 22 maana 23 ilikuwa sio siku ya kzi, tumefunga mjadala wa mishahara kuchelewa
 
Back
Top Bottom