There is power in giving. Hili somo halieleweki kwa tulio wengi. The more you give the more you receive.
Very true. Fuatilia pia waasisi wa makampuni makubwa duniani kama Coca cola walichofanya.. sadaka na zaka ni habari nyingine kabisa. Na kiimani, mahali pekee ambapo Mungu na Shetani wamefanana ni kwenye sadaka