dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
ila kwa habari ya kuwapa wahitaji naungana na wewe 100%, ni jambo zuri kusaidiana katika jamii........Ohhh kuna ukweli...lakini it works a lot...sio paap..nop..utaona tu mambo mengi yanafunguka sana...sijui lakini maana ni imani kila mtu anaamini kivyake
hiyo ya mafungu ya 10 daaah....... hadi kuna wakati huwa nahisi labda tafsiri yake hatuijui