Lkn Watumishi mnapaswa Mumshukuru sana Hayati JPM ambaye alihakikisha mnapata mishahara yenu kila ifikapo trh 22 mpaka trh 23 ya kila mwezi hili halijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru.
tatizo lipo kwa watendaji/watekelezaji, endapo ukikuta watendaji/watekelezaji wana roho mbaya lazima mtaumizwa sana tena sana.
Ombeni sana kwa Mungu watu wenye roho mbaya amabo wamekabidhiwa majukumu ya kutekeleza haki zenu wabadilike kwa kuingiwa na roho mtakatifu au wapotee kabisa duniani.
mfano; ninge kuwa mimi nipo kwenye sekta ya malipo huko hazina, nigejiongeza kulipa mishahara ya watumishi wote leo trh 22 kwa kuwa kesho sio siku ya kazi, lkn wapi bwana....mijitu haibadiliki....roho za ajabu kabisa.