Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Nataka nione watumishi wa umma wakijikita kwenye ujasiria mali!sitaki kuona vilio vya kusubiria mishahara mnaiaibisha serekali!!
Wanapamba sana ujasiri wa mali

Ila ndo biashara si nyepesi kama unavodhani

Kama elimu ya biashara huna ni rahisi sana kufeli hata ukipewa pesa.

Wapo wenye biashara na mshahara lakini mambo bado ya manati.

Basic salary iko laki 9

Lakin take home inasoma laki 3

Huyo mtu alipambana biashara kwa kukopa bank
Akichek deni la miaka 5 tena[emoji23]

Hapo kinachobaki ni maumivu ya kimyakimya[emoji19]

Watu wambane tu kujikwaa si kuanguka
 
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.

Tumpe muda tuone.

Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!​

Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!​

Sasa ukivurunda unataka waendelee kukupenda? Hilo litakuwa pendo la kinafiki kama lile la kale kajamaa ka

Atake asitakee tutamuongezea muda. Nature nayo ikafanya yake na sasa tunaye raisi mwingine Mama Samia.
 
JAMANI NAOMBA KUULIZA HOJA YA KUBADILI AKAUNTI YA MSHAHARA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE KUNA CHANGAMOTO YOYOTE WAWEZA PATA? JE INACHELEWA KUBADILISHWA?
 
JAMANI NAOMBA KUULIZA HOJA YA KUBADILI AKAUNTI YA MSHAHARA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE KUNA CHANGAMOTO YOYOTE WAWEZA PATA? JE INACHELEWA KUBADILISHWA?
Haichelewi haina changamoto yoyote. Nenda ofisi ya utumishi utapewa utaratibu au bank unayotaka kuhamishia mshahara utapewa maelekezo ya nini cha kuandika na kufanya
 
Haichelewi haina changamoto yoyote. Nenda ofisi ya utumishi utapewa utaratibu au bank unayotaka kuhamishia mshahara utapewa maelekezo ya nini cha kuandika na kufanya
Ahsante sana. Nilibadili akaunti mwezi wa 4 baada ya mshahara kutoka. Sasa mwezi huu matarajio yangu ni kupokea mshahara katika akaunti mpya. Naona mshahara hauingii hadi nahisi nilikosea!! Ahsante kwa kunishirikisha.
 
Haichelewi haina changamoto yoyote. Nenda ofisi ya utumishi utapewa utaratibu au bank unayotaka kuhamishia mshahara utapewa maelekezo ya nini cha kuandika na kufanya
Issue nyingine kuhusu hili ni kuhusu salary advance ambayo hutolewa na benki inakopitia mshahara wako. Sasa tangu nibadili akaunti huduma hiyo ktk akaunti mpya (benki) haikubali lakini akaunti ya zamani (benk) inakubali!! Niliwauliza wahudumu wa benki mpya wakaniambia huduma haipatikani kwa sababu akaunti mpya haijawahi pitisha mshahara hivyo hadi uanze kupita!! Sasa nawaza hadi sasa ni kwanini benki ya zamani hadi sasa inaruhusu huduma ya salary advance wakati mshahara nimeubadilishia akaunti??? Au hiyo benki hawajapata taarifa kuwa nimehamisha mshahara?? Hawana mawasiliano na hazina
 
Back
Top Bottom