Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.

Tumpe muda tuone.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hizi dharau sasa halafu mbaya zaidi mwanaume ndio unamdharau mwanaume mwenzako
Wewe kama 500k ni ndogo kwa mwenzako ni kubwa na inamtosha kha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…