Heshimu watu sponsor hufarikiWatz bado sana!
Namshangaa sana Samia, nenda kariakoo hapo uone kama mashine za risiti wanatoa tena.
Kama hajaanza kutembeza bakuli hakuna kitu atafanya hapa nchini.
Kuna mtu yeyote amepanda daraja mwezi huuwanarekebisha kwanza mishahara ya wanaopanda madaraja(wanaostahili)
kwaiyo mshahara mpk tar 25 au 26
Tatizo la mswahili....mkidekezwa mnadhani ni hakiSi kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.
Tumpe muda tuone.
Maliza shule kwanza [emoji1]Sie wengiine watazamaji tyuuh.
Sawa mkuu, najua wewe kinachokusumbua ni uchama zaidi
Kama boomMaliza shule kwanza [emoji1]
Mshahara mtamu asikuambie mtu[emoji1787]
Ngoja nikukaushie tu nisijekula ban bure.Umeolewa na mjeda au wewe ni mjeda?