Uko sawa. Kwamfano unamtaji wa laki 2 umetengeneza faida yako kwa sikuKutoa sana haimaanishi kwamba hutoaanguka au biashara haitoshuka.
Huwa mnaramba kabla ya ile tarehe ya wote.Hii kazi ina raha sana.Kesho goma linatoka la wajeda. Nasubiria kwa hamu
Nimemsoma mkuu.Msome vzr bushmamy mkuu
Tunataabiika sana. Yani full stress. Mungu si Omari tunaishimuache tu huyo kama yeye anaishi kwa hela ya wizi sisi tunaishi kwa hicho kidogo na tunaridhika
Kopa! Anzisha biashara/mradi wowote ule wa kukufanya usiwe mtumwa wa mshahara. Hayo maisha unayopitia sasa nayakumbuka sana hata mimi nilipitia! Ila baada ya kuingia JPM, ilinilazimu kujiongeza.Hapa sina hata mia...
Yani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.Lkn Watumishi mnapaswa Mumshukuru sana Hayati JPM ambaye alihakikisha mnapata mishahara yenu kila ifikapo trh 22 mpaka trh 23 ya kila mwezi hili halijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru.
tatizo lipo kwa watendaji/watekelezaji, endapo ukikuta watendaji/watekelezaji wana roho mbaya lazima mtaumizwa sana tena sana.
Ombeni sana kwa Mungu watu wenye roho mbaya amabo wamekabidhiwa majukumu ya kutekeleza haki zenu wabadilike kwa kuingiwa na roho mtakatifu au wapotee kabisa duniani.
mfano; ninge kuwa mimi nipo kwenye sekta ya malipo huko hazina, nigejiongeza kulipa mishahara ya watumishi wote leo trh 22 kwa kuwa kesho sio siku ya kazi, lkn wapi bwana....mijitu haibadiliki....roho za ajabu kabisa.
Bob maley mambo[emoji40][emoji848]Naona bora wale ambao wana uhakika mwisho wa mwezi mzigo unaingia
Unachosema ni kweli kabisa mpendwa ila inategemea pia unachopata. Mfano mtu unapata nusu ya kile unachohitaji kwa matumizi ambayo ni ya msingi ni namna gani utasaidia wahitajiBora useme wewe mkuu..nikisema mm ntaonekana navimba!
Kama ilikuwa ni hisani kupewa kabla ya mwisho wa mwezi basi usitake iwe sheriaSi kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
Daah, ila jamani, 500k ni pesa ya kuingiza kwa siku, tena hapo siku hiyo umekosa sana 😂😂😂, daah, maisha hayaHizi dharau sasa halafu mbaya zaidi mwanaume ndio unamdharau mwanaume mwenzako
Wewe kama 500k ni ndogo kwa mwenzako ni kubwa na inamtosha kha!!!
Anadhania kupata kila tar 23 ni kuwahi kumbe ni siku 30 zile zile.Yani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.
Bro kama waishi maisha hayo ya kusubiri hivyo mshahara, bora uache kazi. Utakufa maskini. Shauri yako.Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
Limbukeni sana uyo sidhani kama maisha anayajua vizuriHizi dharau sasa halafu mbaya zaidi mwanaume ndio unamdharau mwanaume mwenzako
Wewe kama 500k ni ndogo kwa mwenzako ni kubwa na inamtosha kha!!!
Japo 23/23 ni sawa na 30/30 lakini kulipwa 23/23 ni afadhali kwa kuwa ile wiki moja i. e. 23-30 hatuihesabu kwa kuwa ukiwa na mshiko inapita haraka sana. Kwa hiyo mahesabu yetu yanaanza tarehe 1 - 23 wiki tatu kitu kinasomaYani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.
Unajua kusaidia sio had utoe elfu kumi...shilingi mia inatosha sana kumpa mtoto aende shule ale ubuyu..unga,sabuni,nguo,mkaa,pika msos mpe anayesikia njaa...mpe mhitaj hata maji ya kunywa! Tusidhani ni hela tu...Unachosema ni kweli kabisa mpendwa ila inategemea pia unachopata. Mfano mtu unapata nusu ya kile unachohitaji kwa matumizi ambayo ni ya msingi ni namna gani utasaidia wahitaji
Ngoja uingie tule oteNaona bora wale ambao wana uhakika mwisho wa mwezi mzigo unaingia
Mi ningewalipa tarehe 30, maana idadi ya siku ni zile zile 30.Lkn Watumishi mnapaswa Mumshukuru sana Hayati JPM ambaye alihakikisha mnapata mishahara yenu kila ifikapo trh 22 mpaka trh 23 ya kila mwezi hili halijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru.
tatizo lipo kwa watendaji/watekelezaji, endapo ukikuta watendaji/watekelezaji wana roho mbaya lazima mtaumizwa sana tena sana.
Ombeni sana kwa Mungu watu wenye roho mbaya amabo wamekabidhiwa majukumu ya kutekeleza haki zenu wabadilike kwa kuingiwa na roho mtakatifu au wapotee kabisa duniani.
mfano; ninge kuwa mimi nipo kwenye sekta ya malipo huko hazina, nigejiongeza kulipa mishahara ya watumishi wote leo trh 22 kwa kuwa kesho sio siku ya kazi, lkn wapi bwana....mijitu haibadiliki....roho za ajabu kabisa.