Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Wewe ukiwa na bishara zako kwa hiyo utakuwa unaamua tu leo siendi kazini si utafilisika?ndo unavyo jidanganya eti yuko so happy, hahahaa utumwa huo, je ana maamuzi binafisi? anaweza amua leo asiende kazini? acha kujipa moyo
Badilisheni dhana zenu kichwani hizo. Ukiwa umeajiriwa au umejiajiri huwezi kuwa mvivu. Na kama eti unajiajiri sababu uwe na maamuzi ya kukaa tu nyumbani bila kwenda kazini naomba nisiendelee kubishana wala kueleweshana na wewe. Hatufanani.