secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Noma sana hii dunia tunatofautiana sana!Acha tu mkuu yaani inasikitisha kabisa ,duniani uteseka hadi na mbinguni??? Yaani hata ukilipwa milioni 5 au 6 kwa mwezi kuufikia mshara wa wiki wa messi inabidi upige kazi miaka 40....πππ
Sitakiwi kuamini vichwan walikua sawa, Ucawi ulihusika[emoji848]Bila kumsahau na mpuuzi mwingine anaitwa Jerry Tegete
Nae alikacha trial nchi za scandinavia awahi gemu ya Simba na Yanga
Ngasa na Tegete wote hawa walikuwa Uto [emoji3]
Kuna mtu Alisema waafrica Ni toleo la mwisho la binadamu mungu akielekea kupumzika[emoji2]Kuna kipindi huwa nawaza siku sisi weusi wa Africa tukifa Sir God inabidi atuonee huruma manake haiwezekani tuteseke Duniani na Mbinguni.....
DuhAcha tu mkuu yaani inasikitisha kabisa ,duniani uteseka hadi na mbinguni??? Yaani hata ukilipwa milioni 5 au 6 kwa mwezi kuufikia mshahara wa wiki wa messi inabidi upige kazi miaka 40....πππ
MmmmhKuna mtu Alisema waafrica Ni toleo la mwisho la binadamu mungu akielekea kupumzika[emoji2]
Halafu Kuna watu wanasema kuajiriwa hakulipi Bora kujiajiri, Sasa Messi aache kucheza akajiajiri kweli!!Acha tu na huyo ni mwajiriwa ππ
Yaani mfanyakazi wa PSG