Mishahara ya PSG ni kufuru

Mishahara ya PSG ni kufuru

Acha tu mkuu yaani inasikitisha kabisa ,duniani uteseka hadi na mbinguni??? Yaani hata ukilipwa milioni 5 au 6 kwa mwezi kuufikia mshara wa wiki wa messi inabidi upige kazi miaka 40....😀😀😀
Noma sana hii dunia tunatofautiana sana!
haipo balanced kabisa
 
Bila kumsahau na mpuuzi mwingine anaitwa Jerry Tegete

Nae alikacha trial nchi za scandinavia awahi gemu ya Simba na Yanga

Ngasa na Tegete wote hawa walikuwa Uto [emoji3]
Sitakiwi kuamini vichwan walikua sawa, Ucawi ulihusika[emoji848]
 
Kuna kipindi huwa nawaza siku sisi weusi wa Africa tukifa Sir God inabidi atuonee huruma manake haiwezekani tuteseke Duniani na Mbinguni.....
Kuna mtu Alisema waafrica Ni toleo la mwisho la binadamu mungu akielekea kupumzika[emoji2]
 
Back
Top Bottom