secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Noma sana hii dunia tunatofautiana sana!Acha tu mkuu yaani inasikitisha kabisa ,duniani uteseka hadi na mbinguni??? Yaani hata ukilipwa milioni 5 au 6 kwa mwezi kuufikia mshara wa wiki wa messi inabidi upige kazi miaka 40....😀😀😀
haipo balanced kabisa