MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Mkuu wangu Kasheshe,
Pesa ya mafuta utatumia kuhudimia wananchi wa Ileje wakati unashinda Dar Es Salaam?
Hata pesa za mafuta, hawa waheshimiwa wanakula tu.
Hebu fukiria.. mtu analipwa 84,000,000 kwa mwaka na mbunge kwa miaka 20 au 30???
Yet hawa hawa wabunge wako ktk Bodi za mashirika mbali2 ambapo a Sitting ni 500,000 hadi 1,000,000 kwa siku!
Is our society just and Fair?
Halafu hawa hawa wanapitisha mikataba mibovu,wafanya biashara na wana tamaa ya madaraka na mali.Mzalendo unazidi kunpandisha hasira, nikikumuka na hawa hawa wabunge wanaona watoto/wajukuu/watukuu zetu wanakaa chini shuleni, hawana waalimu. Wazazi wanajifungua katika mazingira magumu mno. Hawa, hawa, hawa Wabunge kuna siku tu nao watajua moto wa wananchi.
Mzalendo, nahisi adrenalins zangu zimepata hitilafu ghafla. Zimepanda na kumwagika!!
ooooh now i understand, i understand. Pesa kweli ni shetani.
JF,
Mshahara na marupupupu ni milioni 7 kwa mwezi! Bado vikao vya kamati na maslahi mengine!
Kwa mwaka Mbunge hupata Shilingi milioni 84!
Na akimaliza mda wa miaka mitano hupata milioni 30 kama kifuta jasho!
Mwal Msingi hulipwa 150,000 kwa mwezi na kwa mwaka hupata 1,800,000! Hebu angalia tofauti ni shilingi 82,8000,000 kwa mwaka!!!
Uwiii !!!!! Jamani hii tofauti kwa nchi maskini ni kubwa mno!!!
Ndo maana rushwa ktk uchaguzi haitaisha!
Hivi Jaji Mkuu, Spika, Raisi na PM kuna mtu ana data wanalipwa kiasi gani tz?
Source: Slaa akiongea Hedaru Bunge mradi wa ulaji
Ibrah,Dk Slaa anamsaka Spika Sitta na Kamati yake ya Maadili ya Bunge. Wenyewe huwa hawataki mambo yao ya maslahi yawekwe kwenye public.
Dk. Slaa, Je, unao uwezo wa kuhimili rungu la Spika na Kamati ya Maaadili? Asante kwa kutujuza na rungu likikushukia bado tuko upande wako; usijali songa mbele.
Ndugu wana-JF, mabibi na mabwana. Kwa heshima na taadhima naomba kutamka kwenu kwamba nataka kugombea ubunge kupitia JF. Sababu kubwa inayonisukuma kufikia hatua hii ni MSHIKO mnene kule ndani ya nyumba na wala si matatizo yenu wala njaa niliyo nayo. Tafadhali wandugu, naomba tu mnipe sababu au michango ya mawazo ya kwanini NISIGOMBEE nafasi hii ilihali pesa zipo kama zilivyoanishwa kwenye vyombo vya habari. Naomba kuwasilisha na aksanteni kwa kunisikiliza.
- Hivi unajua mkuu kuwa RA anaishi kwenye nyumba kubwa ya serikali maalum kwa uwt?
- Hivi unajua mkuu kuwa RA anaishi kwenye nyumba kubwa ya serikali maalum kwa uwt?
- Only in Tanzania mkuu! usishangae ya musa maana mengine huyajui!
FMES!
Akikaa nyumba ya serikali sio tatizo....labda tufahamishe hio nyumba iko wapi...
Nijuavyo RA kanunua nyumba DOM anakaa kila akifikia huko na watu watu wake wa karibu...(ukinisahihisha ntakubali, may my source is wrong)
Tutashangaa kama RA anakaa nyumba ya private...then GOT ije kulipia!!!..like Spika(as per MAX above) ...ndio kitu ambacho tumekipigia kelele GOT kuuza nyumba zake..huku watendaji wakikaa ktk Hoteli na kuliingiza Taifa Hasara.