Mishahara ya viongozi wa Tanzania

yule aliekua analalamika hamna haja ya wabunge kuendesha kilimo kwanza ama kuvaa suit zabei ghari sana, mkewe juzi ameoneka ndani ya kilimo kwanza mpya kabisa, pesa wanazipenda na hawawezi kuwa tayari kuongea juu ya mishahara wala marupurupu watanzania tutaendelea kuumia waachache wakifaidika
 
Naomba anayejua mshahara wa hawa mafsadi wa ccm kuanzia mawaziri wote pamoja na mkuu wa nchi {dhaifu} ili tujue wanachukuwa mkwanja kiasi gani.. Kwani na anawalipa wao mfano jk?
 
jamani mimi nadhani ni wakati wa kuiweka wazi mishahara yote ya watumishi serikalini ili tuweze kuona tofauti iliyopo, au mnasemaje wadau?

 
shahara ya nini bana kama nawesa acha chukua mezi yote na mbado ikawa multi billionea?
 
Rais wa Tanzania analipwa mshahara wa shs $ 450,000 kwa mwaka. Hapo ni nje ya marupurupu yote. Confirmed
 
...Now that we know, if the source can be cpnfirmed, what is our next course of Action, or the urge to know our president's salary was but a tantrum??
 
Swali zuri sana na nadhani Ikulu watakapo kamilisha site yao ni vizuri wakiziweka habari hizi wazi kwa wananchi kuziona... Waajiriwa wote wateuliwa na rais ni vizuri tukifahamu mishahara yao!
makubwa
 
Rais wa Tanzania analipwa mshahara wa shs $ 450,000 kwa mwaka. Hapo ni nje ya marupurupu yote. Confirmed
Mhnnnn! what about this one:-
The president of Tanzania Kikwete salary per annum is Tsh 300,000,000/= three hundred million of which if convert to USD is $187,500/ the president gets many benefits free accomodations at resident all food and loundry and transportations is fully paid the president gets full medical including all his family members president also gets clothing allowance, travel and enteratiainment allowance


Read more: What is the salary of Tanzania president
 
Nafikiri the issue of salary is too personal. Mimi nafikiri tuzungumzie mishahara ya wafanyakazi nchi nzima bila kujali professional
kwani mishahara ya Wafanyakazi ni ya kiujanjaunjaja tj
 
Nafikiri the issue of salary is too personal. Mimi nafikiri tuzungumzie mishahara ya wafanyakazi nchi nzima bila kujali professional
kwani mishahara ya Wafanyakazi ni ya kiujanjaunjaja tj

Mishahara ya wafanyakazi wa serikali ni jambo linalotakiwa liwe public, siyo "too personal." Nafahamua kuwa mishahara ya wafanyakazi wa serikalini katika nchi nyingi za west inapatika online; unahitaji tu kujua namna ya kutafuta.
 
Nafikiri the issue of salary is too personal. Mimi nafikiri tuzungumzie mishahara ya wafanyakazi nchi nzima bila kujali professional
kwani mishahara ya Wafanyakazi ni ya kiujanjaunjaja tj

Why is it too personal? Who foots the bill for their salaries? It's the taxpayers, right? As taxpayers we have the right to know how our money is being spent.

If this government is of the people, by the people, and for the people then there ought to be total transparency in the way it operates and that includes making public the salaries of those who work in it.
 
swala sidhani kama ni mshahara swala ni namna utendaji ulivyombovu kwa hao wanaolipwa mishahara mikubwa au midogo, mh mbunge mh rais wanaweza kulipwa hivyo walipwavyo lakin wawajibike? kitu ambacho ni tofauti kabisa. na pili kuna umuhimu wa serikali kutengeneza mfumo mzuri wa hii mishahara utakaoenda sambamba na viwango vya elimu nk na hii ni pamoja na wabunge kwani na wao ni miongoni mwa watumishi wa umma (kisiasa) n.k
 
nimeipenda hii article juu ya Makerere University japo inaongelea masuala yaliyopita, fuatilia kwenye hizo red utagundua ni kwa nini nchi zetu haziendelei labda kutokana na makosa hayo!

more on this source: http://www.monitor.co.ug/News/National/Aliker+reflects+on+90+years+of+Makerere/-/688334/1471956/-/item/0/-/u5sm4h/-/index.html
 
The only one who knows the salary of the president is the PMG(PAYMASTER GENERAL)
 
Mishahara ya viongozi wa Tanzania midogo sana ndio maana rushwa imetawala na njia zisizo sahihi za kujipatia kipato. Huwezi kumlipa waziri mshahara wa milioni 2-3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…