Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Duh sina usemi ila bado tunaamka . Kwa haraka watu wenye uwezo wa kung'amua haya wanaongezeka na wa kuyafitini wamo vivyo hivyo kwa wenye mapenzi mema na tz tuko paoja aila kujali chochote . Dini ,itikadi,mrengo nk .
 
Hii mishahara ya hawa viongozi wetu inatengeneza income gap kubwa kati yetu na hao viongozi and some of them are not hardworking people thus they don't deserve such a huge salary, a strategy should be initiated to alleviate the problem and I suggest that leaders should paid according to success level in his or her field
 
we are running towards a very deep hole of poverty with sharp swords directed upward
 
Nimechoshwa na viongozi wa nchi zetu za afrika, nikana kwamba tunaongozwa na watoto wa dogo! Mungu atusaidie turudi tulikoachwa na mzee wetu nyerere kwa amani, vinginevyo hatutafika salama!

viongoz wetu wan jal masilai ya asee
 
kwa nchi kama zetu apa afrika figure ya mishahara ni kiini macho kwani wanazoiba hata hicho kimshahara anaweza asikiguse kabisa!!!!!!!!! anyway its worth knowing!
 
Kutoka kwa Zitto

Sijui mshahara wa Rais na naamini ni katika vitu ambavyo walipa kodi wanatakiwa kujua. Mshahara wa Rais hautakiwi kuwa siri kwa mtanzania yeyote. Inapaswa kuwa wazi kabisa na kila Raia ajue. TRA watakuwa wanajua kama sio tax exempt. Nadhani tukifatilia kupitia Utumishi tunaweza kupata hizo data. Hebu ngoja nipeleke swali Bungeni kuhusu jambo hili ili lijibiwe Mkutano ujao wa Bunge. Haya ni mambo ambayo tuna overlook sana.

Mwaka 2008 wakati tunapitisha sheria ya Utawala wa Bunge (National Assembly administration act) niliwasilisha ammendment kuwa mishahara ya wabunge na mawaziri iwe wazi na iwekwe online watu waweze ku access. Nikajibiwa ni siri ya mtu. Rais ni mtu ndio, lakini sio mtu kama mtu mwingine. Ni mtu mwenye maamuzi kuhusu mwelekeo wa Taifa. Ni vizuri kujua tunamlipaje. Ngoja na mimi niwaulize, Nani anajua mshahara wa Mbunge wa Jimbo lake hapa?

Kwa ujumla wetu hatuna kabisa a sense of transparency. It's amazing.
 
Last edited by a moderator:
Wadau kwa mara ingine mi sishangai kabisa kusikia rais wa jamhuri ya muungano analipwa kiasi hicho cha pesa lakin kiuhalisia hiyo pes hata hatuhitaji kuhoji sana sababu ukweli ni pesa ndogo sana kulingana na ukubwa aliyonayo raisi lakin tambuen kabisa kuwa kuna mambo ambayo tunatakiwa kuhoji kama watanzania tulio na uchungu na rasilimali zetu.

Nchi ya Tanzania ni tajiri ingawaje hamuhitaji kulitambua hilo na kuliamiani,tunanunua mi V8 kwa wabunge,mawazili,wakuu wa mikoa,wakurugenzi,wakuu wa wilaya sasa $200,000 kwa mwaka ni issue?hapo hapana sitawaelewa kabisa,mikataba yetu mibovu na uoga wetu wa kushindwa kupaza sauti zetu ndo zinatufanya tuendelee kuwa wajinga na wanyonge sana kadri ya siku zinavozidi kusonga mbele!

Tulitakiwa kusomesha watoto bure kuanzia elimu ya msingi mpaka chuo kikuu kama vile LIBYA,lakin kwetu ni ndoto,Hiyo haitoshi mwenyezi mungu pamoja na utajiri wetu tuliokuwa nao katuongezea tena utajiri mwingine katupa URANIUM,GAS,MAFUTA,NICKEL,Na mengine mengi siku ya mwisho hawa watu watajibu nini kwa mwenyezi mungu?Barabara tunazoziona leo si hadhi yetu kabisa umeme shida,maji vijijin na mjin tabu pamoja na rasilimali zote hizo sasa muniambieje dola laki mbili ni nyingi?

Nimechoshwa na viongozi wa nchi zetu za afrika, nikana kwamba tunaongozwa na watoto wa dogo! Mungu atusaidie turudi tulikoachwa na mzee wetu nyerere kwa amani, vinginevyo hatutafika salama!
 
labda kurahisiha anayejua TGSS J, K ,L na kuendelea. TGSS ndo salary code ya watumishi wa serikali kuu. Akitokea mtu akataw na data hizo TGSS( Tanzania Gov Salary Scale) zinawakilish kiwango gani basi tunaweza kuwa na kadirioa la karibu na ukweli nani anapata kiasi gani.

Hawa wakubwa ngazi zao za mishahara nadhani itakuwa kuanzia TGS J.

Assumption/makadirio yangu ni kuwa

TGS J= wakurugen
 
mshahara wa Raisi wa Tanzania hulipwa kadri anavyo kwenda njee ya nchi
 
Jacob Zuma - Rais wa Afrika Kusini - Kuzaliwa: 1942 Afrika Kusini - Oa/Olewa - Watoto: 20
picture


Mwaka: TZS 492.907.542,00
Kwa Mwezi: TZS 41.075.628,00
Kwa Wiki: TZS 9.858.151,00
Kwa Siku: TZS 1.971.630,00

News.iAfrica July 27, 2012: "President Jacob Zuma has approved a 5.5 percent salary increase for top public servants, the presidency said on Thursday.

"After taking into consideration the recommendations of the commission and other relevant factors... the president determined that the total remuneration of all public office bearers should be adjusted by 5.5 percent with effect from 1 April 2012," his spokesman Mac Maharaj said in a statement.
It would increase the president's annual pay package up to R2.6-million and push that of a Cabinet member to just above the R2-million mark.


InfoRobert Mugabe - Rais wa Zimbabwe - Kuzaliwa: 1,924 Zimbabwe - Oa/Olewa - Watoto: 3
picture


Mwaka: TZS 28.326.000,00
Kwa Mwezi: TZS 2.360.500,00
Kwa Wiki: TZS 566.520,00
Kwa Siku: TZS 113.304,00

Newzimbabwe:"Robert Mugabe is said to have beamed with joy after leaning that his monthly salary had been increased from US$400 to US$1,500. He said:"the salary has not only improved; I am also eligible for an Edgars account!”
Wikipedia:"In June 2008, Mugabe and Grace purchased a high-end residential property in Hong Kong (House No 3, JC Castle, 18 Shan Tong Road, Tai Po), in a development owned by Hong Kong tycoon Albert Yeung. The property was purchased for HK$45.24 million (US$5.8m)"
 
Mmmh hiyo ni shilingi milioni 320!! Inawezekana kweli? Sidhani.
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
 
Kuna watu wengi tu ambao ni viongozi wa taasisi fulani fulani wanapokea takribani milioni 20 kwa mwezi ambapo kwa mwaka ni milioni 240 ambayo ni sawa na USD 153,846 kwa mwaka hapo bado bonasi, posho za safari na vikao. Hivyo sioni tatizo la Rais kulipwa hela hizo ilihali anaongoza nchi.

Na ujue kikawaida rais hana marupurupu lazima tujue na tulikubali hilo na ushahidi ni kuwa anaposafiri kuna afisa wa itifaki amayebeba fungu la safari ambapo hupangilia matumizi na siyo rais kupewa perdiem.

So $ 200,000 ni hela ndogo sana wandugu tusiichukulie kama bilioni.
 
The president of Tanzania Kikwete salary per annum is Tsh 300,000,000/= three hundred million of which if convert to USD is $187,500/ the president gets many benefits free accomodations at resident all food and laundry and transportation is fully paid the president gets full medical including all his family members president also gets clothing allowance, travel and enteratiainment allowance
 
mshahara wa rais wetu ni shilingi za kitanzania 10,000,000 kwa mwezi. Niliipata baada ya kufanya utundu wangu kwenye program mpya ya kupandisha vyeo na madaraja ijulikanayo kama loson (inawezekana nimekosea spelling). Kwa taarifa yako, na yeye ndio mtumishi wa serikali namba moja katika rank za utumishi wa umma.:target:
 
acha noma Dau wa nssf anachukua zaidi ya kumi iweje raisi ndie awe top? Nenda Tanroad ndio utakimbia zaidi ya m35 nakumbuka hadi wabunge walikuja juu baada ya kugundua
 
acha noma Dau wa nssf anachukua zaidi ya kumi iweje raisi ndie awe top? Nenda Tanroad ndio utakimbia zaidi ya m35 nakumbuka hadi wabunge walikuja juu baada ya kugundua
Wa NHC USD 13000 kwa mwezi,hapo zamani nafikiri kwa sasa inawezekana kajiboreshea zaidi
 
Back
Top Bottom