Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetesi zinasema ni 47.mil
so unataka nini?
kwakweli hata mimi sijui ni sh ngapi
kwa unaefahamu usiogope kukatwa kucha na kung'olewa meno
kwakweli hata mimi sijui ni sh ngapi
kwa unaefahamu usiogope kukatwa kucha na kung'olewa meno
HILI SHAVU KWAKO TILILIKA
Mshahara wa rais ni huu hapa 598000000 kwa mwezi na posho ya safari za ndani ni5000000 kwa kila mkoa na hapo mafuta ya magari na vitu vingine ni serikari ndio wanagharamika bado posho za uongozi 9000000 kila mwezi jumlisha ndio utapata mshahara wake ambao hauna makato kama ya wengine jumla ni 612000000TSH bwana msinitoe meno
Swali zuri sana na nadhani Ikulu watakapo kamilisha site yao ni vizuri wakiziweka habari hizi wazi kwa wananchi kuziona... Waajiriwa wote wateuliwa na rais ni vizuri tukifahamu mishahara yao!
kwani mbunge wako hapokeiWatoto wa Kinondoni naona sasa mmekosa hoja badala ya kwenda kujadili maswala ya wadogo zenu waliopata zero kwa kuvaa suruali za pinki za kuwabana mapaja na kusikiliza head phones masaa yote mnataka kujua mshahara wa rais ili mkaanzishe hoja binafsi. Hakika mmezidi kufilisika. Kabla hamjaulizia mshahara wa rais wetu hebu kwanza waambieni wabunge wenu wasipokee posho.
Hv ukitaja unang'olewa meno na kukatwa kucha?
Mshahara wa rais ni huu hapa 598000000 kwa mwezi na posho ya safari za ndani ni5000000 kwa kila mkoa na hapo mafuta ya magari na vitu vingine ni serikari ndio wanagharamika bado posho za uongozi 9000000 kila mwezi jumlisha ndio utapata mshahara wake ambao hauna makato kama ya wengine jumla ni 612000000TSH bwana msinitoe meno
kwanini isiwekwe huru?