Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
upuzi/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu umeamua kuingia na ID ya Ufipa street ili ufanye kosti benefiti za milioni 7na mikopo ya kujipangia na mshahara wa rais?
Ni haki ya wananchi kufahamu mshahara wa rais wao.
naskia umeongezeka hadi 68.1
Kwenye katiba mpya, mwajiriwa namba moja katika ofisi za umma ambaye nni Rais wa nchi sharti awe ni MLIPAKODI namba moja.
Chini ya wazo hili hapa ni lazima rais atajwe mshahara wake wazi, majukumu yake ya kazi na jinsi gani ya kupima utendaji wake kama mfanyakazi yeyote yule.
Sababu yangu ya kusema hivo ni kwa kuwa ni mtu huyu huyu ndiye tunayemhudumia kwa gharama kubwa zaidi kwa kutumia kodi zetu kuliko afisa yeyote yule.
HIvi mshahara wa mwenyekiti wa kijiji ni bei gani? Ninachojua mimi mwenyekiti wa kijiji ni rais wa kijiji sasa kwanini yeye halipwi mshahara halafu Rais wa nchi alipwe mshahara? Uwekwe utaratibu mishahara igawanywe kulingana na level ya utendaji. Halafu wakuu wa mikoa na wilaya tufanye kuwachagua. Kwanini tuwe na uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na Rais, halafu wenyeviti wa kata, tarafa wilaya na mikoa hatuchagui?
Ina maana mjane wa nyerere naye anashika zaidi ya mil.40!naskia umeongezeka hadi 68.1
Nilishayapeleka. Lakini sina uhakika kama watayaingiza, kwa kuwa process ya kupata katiba imetekwa na CCM. Maana CCM hawana muda na maoni yenye maslahi kwa taifa, isipokuwa yenye maslahi kwa chama chao.sasa Babu kawatoeni kwenye Mchakato wa Katiba mtaisoma namba, hayo mapendekezo mbona hukuyatoa kwa Mzee Warioba
kwakweli hata mimi sijui ni sh ngapi
kwa unaefahamu usiogope kukatwa kucha na kung'olewa meno
HILI SHAVU KWAKO TILILIKA
rais ni mtumishi. Mshahara wa mtumishi ni siri. Mbona mna vichwa vizito?
Rais huwa halipwi mshahara bali posho.
Mshahara wa Padri Slaa ni kiasi gani?
Mshahara wa Padri Slaa ni kiasi gani?
wa mbunge