Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #721
Ndugu yangu hata ukijua sioni kama kutakuwa na umuhimu badala yake utaumiza kichwa bure.
Lengo lako ni nini? Hasa
mikazó;8795048 said:Mbunge analipwa milion 3 na laki 6, kwa mwezi, posho ya kukaa bungeni laki 2 kila siku, posho ya usafiri laki 1 na nusu kila siku, posho ya shughuli maalum za mbunge milion 7, raisi wa nchi yetu milion 32 kwa mwezi, waziri mkuu milion 26 kwa mwezi, hapo bado na posho
Umetoa wapi hizo takwimu, acha kudanganya
Rais 1467342.35
Makamu 1364324.20
Waziri mkuu 1143269.10
Chanzo ni waziri wa mishahara na posho za waheshimiwa.