Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Lengo lako ni nini? Hasa

Lengo kuu ni uwazi. Uwazi katika matumizi ya pesa za walipa kodi. Na mimi kama mlipa kodi basi ninapenda na ninataka kujua pesa yangu ninayolipa kwenye kodi inatumiwaje.

Mbona ni jambo rahisi sana hili? Lakini nashangaa watu mnavyolifanya lionekane gumu au la ajabu sana wakati hata halina utata wowote ule.

Mataifa mengine mbona mishahara ya marais wao inajulikana wazi. Mnadhani wao ni wajinga walipoamua kuiweka wazi?
 
nilisikiaga udaku fulani kwamba rais 36m hao wengine uongo zambi sijui kitu.
 
mikazó;8795048 said:
Mbunge analipwa milion 3 na laki 6, kwa mwezi, posho ya kukaa bungeni laki 2 kila siku, posho ya usafiri laki 1 na nusu kila siku, posho ya shughuli maalum za mbunge milion 7, raisi wa nchi yetu milion 32 kwa mwezi, waziri mkuu milion 26 kwa mwezi, hapo bado na posho

Sio Mbaya kujua wenzetu kule juu wanakula ngapi japo duh! it pains
 
huoni wanavyong'ang'ania madaraka ulifikiri ni bure.....chezea tumbo !!!
 
Nasikia wao hawakatwi kodi. Kama ni kweli je huo sio unyonyaji wakati walala hoi wanakatwa kodi?
 
Nasikia fimilia ya rais inavaa nguo zenye gharama ya tsh mil 300 kwa mwaka, gharama inayolipwa toka kwenye kodi zetu
 
Kwa posting yako inaonekana hata wewe hujui kama mimi.

Eniwei, mi nadhani kwa vile mishahara yao inalipwa kutokana na kodi za watu waliowapa dhamana ya kuongoza ni muhimu taarifa za malipo yao kuwekwa hadharani.
 
Raisi milion saba, makamu nae saba ila waziri mkuu anapokea milioni nne
 
Du noma maskini ataendelea kuwa mskini tajiri ataendelea kuwa tajiri ndio mfumo wa serikali yetu tukubari .tukatae
 
Back
Top Bottom