Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mara nyingi mishahara ya wafanyakazi ni Siri. Sii lazima saaana kufwatilia pesa ya mshahara wa MTU,... M T A Z AM O
 
Hii ilijadiliwa humu JF 13th October 2013.


Si kila jambo lahitaji kuambiwa mpaka uchunguzi umefanyikaje...cha msingi ni kuwa Zitto alisema hayo hadharani na JK hakupinga hivyo, so simply and logically it's true.

Kwa hiyo mtu akisema kitu kumhusu mtu fulani halafu huyo aliyesemwa akapuuzia mbali hayo yaliyosemwa, kimantiki wewe unaona yaliyosemwa yatakuwa ya kweli?

Mweeeh! Hizi akili za baadhi ya Watanzania kwa kweli zinasikitisha!
 
Milion 32 n ndogO msidanganyane, am not sure he gets More than. halaf mjue rais anaposho nying kuliko hata vijisenti vy wabunge(not approved just opinion)
 
Mimi naumiza kichwa kufikiri,mtu anapoomba kazi yoyote isiyokua ya kisiasa hanunui form anaomba kazi baada ya mchakato anapewa kazi ,ila mwanasiasa katika ngazi ya Rais,mbunge na nk.

Ananua form kwa pesa fulani, ili awe fulani na atumikie wananchi? Kama watumishi ambao sio wanasiasa hawanunui form, kwanini watumishi wanasiasa wanunue form. Hii ni rushwa ktk democracy au ni nini?
 
unadhani posho ya kwenda nchi za nje kwa rais milioni ngapi na rais anasafiri marangapi kwa mwezi
 
Kwa kawaida mishahala inakua ya kawaida ila pesa nyingi zinapitishiwa kwenye posho.
 
mi hata coni haja ya kufahamu huo mshahara wa hao viongozi ,,,,,coz wao ndo walioshikilia mpini, ,,,,, na ukikuta hyo mishahara ipo juu utashauri ipunguzwe? nn maoni yako khs zile milioni 12 za wabunge?? ebu compare na mshahara wako.,,,,,,,ni shidaaaaaaaaa
 
Ongelea wabunge pesa anayolipwa baada ya miaka mitano wewe utalipwa ukifanya kazi miaka themanini( 80) yautumishi wako mimi sijui kwa kazi gani wanayofanya kuuliza tu namaswali mawili ya nyongza
 

mshaharawa Raisi kwa mwezi Mill34 mwenyekiti wa kata Mill20 akimaliza mda wake
 
Hivi raisi anaendaga sokoni au buchani?
Sasa mshahara wa kazi gani?
Kuku wa kwako halafu urumie manati? Si uwenda wazimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…