Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilijadiliwa humu JF 13th October 2013.
Si kila jambo lahitaji kuambiwa mpaka uchunguzi umefanyikaje...cha msingi ni kuwa Zitto alisema hayo hadharani na JK hakupinga hivyo, so simply and logically it's true.
mishahara ni siri na sio kitu cha wazi!!
...........ndo maana tunataka tumiliki akaunti nje wafyukunyuku wasione!!!!!!unadhani posho ya kwenda nchi za nje kwa rais milioni ngapi na rais anasafiri marangapi kwa mwezi
Kuna mtu kakwambia demu wang
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Kweli naunga mkono