Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Katika mchanganuo wa matumizi ya serikali ya tz hizo ni statutory expenditure ambazo hata bunge halina nafasi kuzijadili kwahiyo unakuta kwamba kupata figure sahihi inategemea wewe ni nani pia kwa mwananchi wa kawaida sio rahisi kujua.
 
Katika mchanganuo wa matumizi ya serikali ya tz hizo ni statutory expenditure ambazo hata bunge halina nafasi kuzijadili kwahiyo unakuta kwamba kupata figure sahihi inategemea wewe ni nani pia kwa mwananchi wa kawaida sio rahisi kujua.

Lakini kwa nini iwe wakati hiyo mishahara inatokana na kodi za wananchi?
 
Katika masuala ya kodi wanasema kuna there is no quid pro quo wanamaanisha mwananchi kulipa kodi haimaanishi ana haki ya kuamua juu ya matumizi ya hiyo kodi husika.

Hivo ni miongoni mwa vigezo vya mifumo ya kodi katika sera. Mifumo mingi ya kiutawala ya nchi zinazoendelea inalenga kutekeleza vipaumbele vya kimfumo ambavyo sio mara zote ni vipaumbele stahiki vya wananchi wa kawaida.
 
Katika masuala ya kodi wanasema kuna there is no quid pro quo wanamaanisha mwananchi kulipa kodi haimaanishi ana haki ya kuamua juu ya matumizi ya hiyo kodi husika. Hivo ni miongoni mwa vigezo vya mifumo ya kodi katika sera. Mifumo mingi ya kiutawala ya nchi zinazoendelea inalenga kutekeleza vipaumbele vya kimfumo ambavyo sio mara zote ni vipaumbele stahiki vya wananchi wa kawaida.

Kujua kodi zetu zinatumiwaje ni suala tofauti kabisa kutaka maamuzi juu ya matumizi yake (ingawa pia tukiona zinatumiwa visivyo tuna kila haki ya kulalamika na kupinga kwa nguvu zote).

Ni nani, kwa mfano, atafurahia kuona kodi anayolipa inaenda kutumiwa kwenye kununua machangudoa?
 
siku zote wenye mamlaka huwa hawewez kuwambia watu wa chin kile walichonacho ni kwa sababu za kujihic wenyewe ndo wenye mamlaka zaid ya wale wanaowaongoza mfano iv ulishawahi kujua kipato cha mzazi wako moja kwa moja au uliskia tu majiran wanamwongelea fadha ndo ukakajua? au kama unafamilia ushawahi kuwambia watoto wako kipato unachopata kwa mwez au mwaka?

Zaidi ya kuwambia tu kwamba maisha ni magumu. kama hujawahi fanya ivyo bac ww ni sawa na hao viongoz wetu na huenda unafany ivo makusud kwa sabab unajhc wa una haki na familia yako haipswi kujua unachopata so na viongoz pia ndo kama ww wanahic raia hawana haki ya kujua mishahara yao.sote tubadlike
 
Hiyo nayo ni siri kubwa Watanzania hatistajili kuijua!!! Tunajua mshahara wa Rais wa Marekani lakini hatujui mshahara wa Rais wetu!!!! Bill clinton ndiye alikwa Rais wa mwisho wa Marekani kupokea mshahara wa $200,000 kwa mwaka alipomaliza awamu yake ya miaka minane mwaka 2000. Kuanzia 2001 mshahara wa Rais wa marekani uliongezwa na kufikia $400,000 kwa mwaka. Kama kumbu kumbu zangi ni nzuri walidai wameoungeza maradufu kwa sababu ni miaka mingi imepita tangu nyongeza ya mwisho na pia gharama za maisha zimepanda sana. Lakini tukirudi kwa Rais wetu hatuujui mshahara wake!!! Mwe hii ni sirikali!!!
unatakiwa kuwa variable kwa km Fikra na busara za mwenyekiti zinavyomuongoza(ATATOLEWA UFAFANUZI).In fact wajamaa rais ni km nchi ni yake,km ilivyo kwa warabu,wakorea etc huwezi muuliza ghaddafi analipwa ngapi?ila unatakiwa mshukuru kwa nafasi ya kutoa hela aliyokupa .Wao wanaishi wakifurahia zaidi marurupu km ESCROW,MEREMETA etc
 
Wewe unaongelea mishara? watu wanapiga pesa kwenye marupurupu, ambayo ni tripple/four times mishahara yao. Chezea bongo wewe...
 
Sio jambo la mantuki kwa kijna kuongelea mshahara wa rais wako kwann nuda huo usitumie kwa kufikirue njia gan ya kujikwamua na kujipanua kimaisha ...ndo maana hatuendelei wa gz siye
 
Wewe unaongelea mishara? watu wanapiga pesa kwenye marupurupu, ambayo ni tripple/four times mishahara yao. Chezea bongo wewe...

Sio jambo la mantuki kwa kijna kuongelea mshahara wa rais wako kwann nuda huo usitumie kwa kufikirue njia gan ya kujikwamua na kujipanua kimaisha ...ndo maana hatuendelei wa gz siye

Aisee!!

EMT
unaona jinsi ambavyo umuhimu wa mapinduzi ya kifikra ulivyo (re: mada ya The Boss kuhusu Badra Masoud)
 
siku zote wenye mamlaka huwa hawewez kuwambia watu wa chin kile walichonacho ni kwa sababu za kujihic wenyewe ndo wenye mamlaka zaid ya wale wanaowaongoza mfano iv ulishawahi kujua kipato cha mzazi wako moja kwa moja au uliskia tu majiran wanamwongelea fadha ndo ukakajua? au kama unafamilia ushawahi kuwambia watoto wako kipato unachopata kwa mwez au mwaka? Zaid ya kuwambia tu kwamba maisha ni magumu. kama hujawahi fanya ivyo bac ww ni sawa na hao viongoz wetu na huenda unafany ivo makusud kwa sabab unajhc wa una haki na familia yako haipswi kujua unachopata so na viongoz pia ndo kama ww wanahic raia hawana haki ya kujua mishahara yao.sote tubadlike

mtoto wangu sio lazima ajue kipato changu kwan hajanipa yeye au mm kujua kipato cha baba angu sio lazim kwan sijampa mm ila serikali ni mhum kujua kwa sababu ni sisi ndio tumetoa izo ela, serikali haijazizalisha izo ela kwa jasho lao tofauti kabisa na case ya mtoto na baba mifano yako haiko hata close ndugu!!!
 
Kwa nini rais wa Tanzania, mawaziri na gavana wa BOT walipwe mishahara yao katik US$ wakati currency yetu ni TSh?[/
Na umaskin wetu hunzia hapo wafanya wahindi anlazimisha hata simu kwa usd ili wasihangaike kutorosha hii pesa
doesn't make sense
 
Ni vizuri tujue wao wanalipwa sh ngapi kwani wao ni akina mungu? Wote ni wanadamu tofauti ni kazi mbona wao wanajua mishahara yetu na vipato vyetu alafu wakishajua wanatukadiria
 
Hivi utumishi wa UMMA iweje mshahara UMMA unaomlipa usijue?? Rais analipwa nini?
 
Back
Top Bottom