Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mchanganuo wa matumizi ya serikali ya tz hizo ni statutory expenditure ambazo hata bunge halina nafasi kuzijadili kwahiyo unakuta kwamba kupata figure sahihi inategemea wewe ni nani pia kwa mwananchi wa kawaida sio rahisi kujua.
Katika masuala ya kodi wanasema kuna there is no quid pro quo wanamaanisha mwananchi kulipa kodi haimaanishi ana haki ya kuamua juu ya matumizi ya hiyo kodi husika. Hivo ni miongoni mwa vigezo vya mifumo ya kodi katika sera. Mifumo mingi ya kiutawala ya nchi zinazoendelea inalenga kutekeleza vipaumbele vya kimfumo ambavyo sio mara zote ni vipaumbele stahiki vya wananchi wa kawaida.
unatakiwa kuwa variable kwa km Fikra na busara za mwenyekiti zinavyomuongoza(ATATOLEWA UFAFANUZI).In fact wajamaa rais ni km nchi ni yake,km ilivyo kwa warabu,wakorea etc huwezi muuliza ghaddafi analipwa ngapi?ila unatakiwa mshukuru kwa nafasi ya kutoa hela aliyokupa .Wao wanaishi wakifurahia zaidi marurupu km ESCROW,MEREMETA etcHiyo nayo ni siri kubwa Watanzania hatistajili kuijua!!! Tunajua mshahara wa Rais wa Marekani lakini hatujui mshahara wa Rais wetu!!!! Bill clinton ndiye alikwa Rais wa mwisho wa Marekani kupokea mshahara wa $200,000 kwa mwaka alipomaliza awamu yake ya miaka minane mwaka 2000. Kuanzia 2001 mshahara wa Rais wa marekani uliongezwa na kufikia $400,000 kwa mwaka. Kama kumbu kumbu zangi ni nzuri walidai wameoungeza maradufu kwa sababu ni miaka mingi imepita tangu nyongeza ya mwisho na pia gharama za maisha zimepanda sana. Lakini tukirudi kwa Rais wetu hatuujui mshahara wake!!! Mwe hii ni sirikali!!!
Wewe unaongelea mishara? watu wanapiga pesa kwenye marupurupu, ambayo ni tripple/four times mishahara yao. Chezea bongo wewe...
Sio jambo la mantuki kwa kijna kuongelea mshahara wa rais wako kwann nuda huo usitumie kwa kufikirue njia gan ya kujikwamua na kujipanua kimaisha ...ndo maana hatuendelei wa gz siye
siku zote wenye mamlaka huwa hawewez kuwambia watu wa chin kile walichonacho ni kwa sababu za kujihic wenyewe ndo wenye mamlaka zaid ya wale wanaowaongoza mfano iv ulishawahi kujua kipato cha mzazi wako moja kwa moja au uliskia tu majiran wanamwongelea fadha ndo ukakajua? au kama unafamilia ushawahi kuwambia watoto wako kipato unachopata kwa mwez au mwaka? Zaid ya kuwambia tu kwamba maisha ni magumu. kama hujawahi fanya ivyo bac ww ni sawa na hao viongoz wetu na huenda unafany ivo makusud kwa sabab unajhc wa una haki na familia yako haipswi kujua unachopata so na viongoz pia ndo kama ww wanahic raia hawana haki ya kujua mishahara yao.sote tubadlike
Kwa nini rais wa Tanzania, mawaziri na gavana wa BOT walipwe mishahara yao katik US$ wakati currency yetu ni TSh?[/
Na umaskin wetu hunzia hapo wafanya wahindi anlazimisha hata simu kwa usd ili wasihangaike kutorosha hii pesa
doesn't make sense