Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Kila kitu wanapewa bure sa mshahara wa nini? Wangefuta mishahara ya marais hata hii tabia ya viongozi wa kiafrika kung'ang'ania madaraka ingeisha.

Wafanye kazi bure kisha muda ukiisha wawe wanapewa asante kulingana na kazi waliyofanya walipokuwa madarakani
 

Ni Rais wa Bolivia SIO Uruguay.Anaitwa Evo Morales.Huyu amepiga panga mshahara wake ili iingie kwenye miradi ya maendeleo.
 

"utamu wa kazi pesa,hata boss anajua"
 

Siku hiyohiyo naenda kuprint t shirt ynye sura yake naivaa
 
Anapunguza za wenzake tu za kwake hawez huyo....kumbuka amekuwa mbunge miaka yote anachukua posho na wazir pia .......mkuki kwa nguruwe kwa mwanadam mchungu sana
 
Hadi milioni 50! Kwani kwa sasa rais unajua anapewa kiasi gani kama mshahara? With reference please, maana kujibu tu anapewa bilioni 1 kwa mwezi kichaa yoyote anaweza akajibu hivyo.

Hivyo naomba kielelezo cha mshahara wa rais kwa kuweka salary slip hapa jukwaani.
 

analipwa mil 404.27 jiulize nimejuaje
 

WW salary slip ya rais itaipata wapi??? Kwani hata ya kwako nani anaweza kuaccess??
 
Yaaa ni wazo zuri ila inchi yetu bado haipo katika hali ya usalama kwa anaye tetea haki ya kweli, kwa hiyo muache aimarishe usalama wake kwa kuanzia kwenye chombo cha usafiri wake na mazingira yanayo mzunguka kwa ujumla.
 
Teh teh..Salary slip??..Aitolee wapi?
 

Mbona rais anatembelea Toyata land cruiser GX V8, au wewe ulimaanisha Toyota IST?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…