Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Kila kitu wanapewa bure sa mshahara wa nini? Wangefuta mishahara ya marais hata hii tabia ya viongozi wa kiafrika kung'ang'ania madaraka ingeisha.

Wafanye kazi bure kisha muda ukiisha wawe wanapewa asante kulingana na kazi waliyofanya walipokuwa madarakani
 
Huu hapa mshahara wa raid Tz
1444562932514.jpg
 
Kati ya vitu ambavyo anasifiwa rais magufuli ni udhibiti wa PESA. Na huonekana anauchungu sana na watanzania. Ningefurahi siku ningesiki rais anatembelea Toyota.
Na amejipunguzia MSHAHARA yeye mwenyewe hadi milioni 50 kuziilisha uzalendo wake katika taifa.....yaani kama raisi wa urugway....mbele kwa mbele......power

Ni Rais wa Bolivia SIO Uruguay.Anaitwa Evo Morales.Huyu amepiga panga mshahara wake ili iingie kwenye miradi ya maendeleo.
 
kati ya vitu ambavyo anasifiwa rais magufuli ni udhibiti wa pesa. Na huonekana anauchungu sana na watanzania. Ningefurahi siku ningesiki rais anatembelea toyota.
Na amejipunguzia mshahara yeye mwenyewe hadi milioni 50 kuziilisha uzalendo wake katika taifa.....yaani kama raisi wa bolivia....mbele kwa mbele......power

"utamu wa kazi pesa,hata boss anajua"
 
Kati ya vitu ambavyo anasifiwa rais magufuli ni udhibiti wa PESA. Na huonekana anauchungu sana na watanzania. Ningefurahi siku ningesiki rais anatembelea Toyota.
Na amejipunguzia MSHAHARA yeye mwenyewe hadi milioni 50 kuziilisha uzalendo wake katika taifa.....yaani kama raisi wa Bolivia....mbele kwa mbele......power

Siku hiyohiyo naenda kuprint t shirt ynye sura yake naivaa
 
Anapunguza za wenzake tu za kwake hawez huyo....kumbuka amekuwa mbunge miaka yote anachukua posho na wazir pia .......mkuki kwa nguruwe kwa mwanadam mchungu sana
 
Hadi milioni 50! Kwani kwa sasa rais unajua anapewa kiasi gani kama mshahara? With reference please, maana kujibu tu anapewa bilioni 1 kwa mwezi kichaa yoyote anaweza akajibu hivyo.

Hivyo naomba kielelezo cha mshahara wa rais kwa kuweka salary slip hapa jukwaani.
 
Hadi milioni 50! Kwani kwa sasa rais unajua anapewa kiasi gani kama mshahara? With reference please, maana kujibu tu anapewa bilioni 1 kwa mwezi kichaa yoyote anaweza akajibu hivyo. Hivyo naomba kielelezo cha mshahara wa rais kwa kuweka salary slip hapa jukwaani.

analipwa mil 404.27 jiulize nimejuaje
 
Hadi milioni 50! Kwani kwa sasa rais unajua anapewa kiasi gani kama mshahara? With reference please, maana kujibu tu anapewa bilioni 1 kwa mwezi kichaa yoyote anaweza akajibu hivyo. Hivyo naomba kielelezo cha mshahara wa rais kwa kuweka salary slip hapa jukwaani.

WW salary slip ya rais itaipata wapi??? Kwani hata ya kwako nani anaweza kuaccess??
 
Yaaa ni wazo zuri ila inchi yetu bado haipo katika hali ya usalama kwa anaye tetea haki ya kweli, kwa hiyo muache aimarishe usalama wake kwa kuanzia kwenye chombo cha usafiri wake na mazingira yanayo mzunguka kwa ujumla.
 
Hadi milioni 50! Kwani kwa sasa rais unajua anapewa kiasi gani kama mshahara? With reference please, maana kujibu tu anapewa bilioni 1 kwa mwezi kichaa yoyote anaweza akajibu hivyo. Hivyo naomba kielelezo cha mshahara wa rais kwa kuweka salary slip hapa jukwaani.
Teh teh..Salary slip??..Aitolee wapi?
 
Kati ya vitu ambavyo anasifiwa rais magufuli ni udhibiti wa PESA. Na huonekana anauchungu sana na watanzania. Ningefurahi siku ningesiki rais anatembelea Toyota.
Na amejipunguzia MSHAHARA yeye mwenyewe hadi milioni 50 kuziilisha uzalendo wake katika taifa.....yaani kama raisi wa Bolivia....mbele kwa mbele......power

Mbona rais anatembelea Toyata land cruiser GX V8, au wewe ulimaanisha Toyota IST?
 
Back
Top Bottom